ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Kijana wa hovyo wewe,,..Simba ni timu ya màisha yangu .yeyote anaeiongoza Simba ananitumikia Mimi ,.au hao watu wewe unawaonaje Kwan,.najua njia zote zakupita kufikisha maoni yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana wa hovyo wewe,,..Simba ni timu ya màisha yangu .yeyote anaeiongoza Simba ananitumikia Mimi ,.au hao watu wewe unawaonaje Kwan,.najua njia zote zakupita kufikisha maoni yangu
Sasa hapo uyo Shayo kakosea nini katika ufafanuzi wake? Hiyo nembo ikibaki hivyo hivyo inaathiri nini katika utendaji kazi wa timu?Hakuna mtanzania asiye shabiki wa simba/yanga kama hawapo ni wachache sana, hata hao wachambuzi wa michongo wa nchi hii wote wamegawanyika katika teams hizi mbili
Kwa mfano kitenge ni Yanga lialia hadi kwenye matamasha hutumika kama MC, Ibrahim Masoud maestro huyu aliwahi hadi kuwa kiongozi wa simba na mkuu wa benchi la ufundi na ndiye aliyewafundisha kina Mkude. Ndemla, ajibu wakiwa wadogo Simba B
Kuna Shaffih Dauda, huyu ni Simba aliwahi hadi kuchezea ile Simba mbovu ya mwaka 99 ya kina Kimune Mwita, ingawa hakucheza hata mechi zisizozidi tatu akatumia vihela vya usajili kumalizia masomo IFM
Kubwa la maadui Jemedari Said ni yanga lialia, hata kwenye uchaguzi wa kina Msolwa alikuwa kwenye kamati ya kampeni ya Msolla
Geoff lea ni shabiki la simba
Sasa turudi kwa bwana Abiud Shayo Privaldinho, unadhani kwa nini wewe unaonekana kama TOY? siyo sauti yako ni kiherehere chako, kwa mfano niliowataja hapo juu ni Maestro tu hajawahi kuingia kwenye mgogoro na hizi teams au mashabiki wao nafikiri ni master wa kuji handle
Dauda, Geoff ni mashabiki wa simba waliongia matatizoni makubwa na mashabiki wa simba, Jemedari na wanayanga kila mtu anajua, kitengee yeye anajulikana ujinga wake
Tofauti yako Shayo umejigeuza filter ya utopolo, yaani issue ya yanga ikipingwa kwa siku unaitolea maelezo hata mara 100 hadi inachekesha , mwana huoni tu ujinga wako lakini grow up elezea kitu mara moja kausha au wakupe kitengo kabisa nimetoa mifano mingi ili ujifunze kubalance shobo
kwa mfano hii tweet ni ya kijinga kabisa, we ulikuwa hujui kwamba zamani simba na yanga zilkuwa hadi na teams za boxing hata kina matumla walianzia huko?
Ushauri ni simple tu kama hayafanyiki tena badilini logo imejaa mauchafu mno wewe ni kupinga tu..ndiyo maana wanasema HATA HAO JAMAA HAPO SALAMANDER WAKIACHIA KIUSHUZI UTASIFIA KWAMBA USHUZI WAO UNANUKIA KAMA CAKE NA UKO VERY CREATIVE
View attachment 2307919