[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaumia ukiwa wapi?? Kwani huyo mnafiki wenu huwa anachambuaga nn?? Km sio uzwazwa tyuuh.Wewe punga tangu umeingia hili jukwaa la sports umekua mtu wa kuleta story za kisenge senge all day una jadiri personalities
Kwan nan amesema aishi ninavyotaka?? Kwenye ukweli acha tuseme, aache unafiki na uzandiki. Wala hatuna shida naePivaldinho awez ishi kama unavyotaka na hilo ndo tatizo kubwa la watanzania kufuatilia maisha ya watu tujifunze kuheshimu kile anachoamin mtu ata kama kina kukera
Kwa sababu asifii Simba ndo anaitwa mnafki na mzindaki tunasafari ndefu sanaKwan nan amesema aishi ninavyotaka?? Kwenye ukweli acha tuseme, aache unafiki na uzandiki. Wala hatuna shida nae
Byuti byuti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sababu asifii Simba ndo anaitwa mnafki na mzindaki tunasafari ndefu sana
Swala sio IQ pivaldinho kavunja sheria ipi ya nchi mpaka unamtuhumu kumbuka majungu sio mtaji.kama umeshindwa kuulewa huu uzi nina wasiwasi sana na IQ yako
Are you serious?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mchokozi eti eeeh?? Afu kwa huyu Priva sio siri, ni vile watu wana mstahi tyuuh. Anabokolewa wala sio jambo geni kwake, uwiiiiiiih.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanafiki sana hako ka mtu, na sauti yake kavu ila analazimisha kuibana, iwe km ya Ruby.
Uwiiiih.
hahahahaha..anayemsema mwenzie si ni wale wale tuDah.. Nilisikia hizi tetesi ila nikapuuza ila kwakuwa wewe msemaji wao usiye rasmi unatoa tamko, nasadiki maneno yako 😂
Mchawi hakosi kumjua mchawi mwenziehahahahaha..anayemsema mwenzie si ni wale wale tu
Wala hatujataka atusifie na hatuna shida hizo, aache unafiki na uzandiki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sababu asifii Simba ndo anaitwa mnafki na mzindaki tunasafari ndefu sana
Tena ni katibu wao Mwenezi, vipi una jingine? [emoji23][emoji23][emoji23]hahahahaha..anayemsema mwenzie si ni wale wale tu
Huwez mpangia junsi ya kuishi aishi atakavyo wewe utasubiri sanaWala hatujataka atusifie na hatuna shida hizo, aache unafiki na uzandiki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawaaahHuwez mpangia junsi ya kuishi aishi atakavyo wewe utasubiri sana
Ila jezi mpya ya utopolo imethibitisha nani Ni makolo. Maana SI kwa makorokoro Yale yaliyojaa kwenye jezi.Mpira unawatia watu uchizi. Kwa comment nilizoziona humu Mungu anisaidie nisifike huko mlipofikia hasa makolo inaonekana mna mawazo mengi aseeh
Kunyweniaji mengi nyie
Huyu mtoto nilivyoskia anaenda Misri nimejaribu Hadi kuwatafuta baadhi ya viongozi wa matawi yenye ushawishi na uongozi wa juu wa simba asiruhusiwe hata kukanyaga kwenye kambi yetu.Ana ushabiki wa kipumbavu Sana,naweza sema wakishamba..Hakuna mtanzania asiye shabiki wa simba/yanga kama hawapo ni wachache sana, hata hao wachambuzi wa michongo wa nchi hii wote wamegawanyika katika teams hizi mbili
Kwa mfano kitenge ni Yanga lialia hadi kwenye matamasha hutumika kama MC ,Ibrahim masoud maestro huyu aliwahi hadi kuwa kiongozi wa simba na mkuu wa benchi la ufundi na ndiye aliyewafundisha kina mkude..ndemla , ajibu wakiwa wadogo simba b
Kuna Shaffih Dauda, huyu ni simba aliwahi hadi kuchezea ile simba mbovu ya mwaka 99 ya kina kimune mwita, ingawa hakucheza hata mechi zisizozidi tatu akatumia vihela vya usajili kumalizia masomo IFM
Kubwa la maadui Jemedari Said ni yanga lialia,hata kwenye uchaguzi wa kina msolwa alikuwa kwenye kamati ya kampeni ya msolla
Geoff lea ni shabiki la simba
Sasa turudi kwa bwana Abiud shayo Privaldinho, unadhani kwa nini wewe unaonekana kama TOY? siyo sauti yako ni kiherehere chako, kwa mfano niliowataja hapo juu ni Maestro tu hajawahi kuingia kwenye mgogoro na hizi teams au mashabiki wao nafikiri ni master wa kuji handle
Dauda, Geoff ni mashabiki wa simba waliongia matatizoni makubwa na mashabiki wa simba, Jemedari na wanayanga kila mtu anajua, kitengee yeye anajulikana ujinga wake
Tofauti yako Shayo umejigeuza filter ya utopolo,yaani issue ya yanga ikipingwa kwa siku unaitolea maelezo hata mara 100 hadi inachekesha , mwana huoni tu ujinga wako lakini grow up elezea kitu mara moja kausha au wakupe kitengo kabisa nimetoa mifano mingi ili ujifunze kubalance shobo
kwa mfano hii tweet ni ya kijinga kabisa, we ulikuwa hujui kwamba zamani simba na yanga zilkuwa hadi na teams za boxing hata kina matumla walianzia huko?
ushauri ni simple tu kama hayafanyiki tena badilini logo imejaa mauchafu mno wewe ni kupinga tu..ndiyo maana wanasema HATA HAO JAMAA HAPO SALAMANDER WAKIACHIA KIUSHUZI UTASIFIA KWAMBA USHUZI WAO UNANUKIA KAMA CAKE NA UKO VERY CREATIVE
View attachment 2307919
JF kila mtu ana mamlaka [emoji3525][emoji3525]Huyu mtoto nilivyoskia anaenda Misri nimejaribu Hadi kuwatafuta baadhi ya viongozi wa matawi yenye ushawishi na uongozi wa juu wa simba asiruhusiwe hata kukanyaga kwenye kambi yetu.Ana ushabiki wa kipumbavu Sana,naweza sema wakishamba..
Tulia wewe.....usituletee ulokole na ustaarabu wa kishamba hapa sio MBINGUNI.Punguza kuchafua watu mambo mengine hata kama unayafahamu ukikaa kimya hauta pungukiwa kitu