Shida ni akili zenu ndogo, hili jambo linajulikana waziKuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.
She justified her killings!
TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.
Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.
Kuna Gen Z Instagram anasema " Leo Kuna mzimu wa shujaa wetu ulimkaba kidogo anye"Changamoto
Kidole juu Kisha nikasikia astagafirulah
Akili ndogo anazo nani!?Shida ni akili zenu ndogo, hili jambo linajulikana wazi
Ajabu mlikuwa mnauliza maswali ambayo majibu yako wazi na yanajulikana.
Wewe mtoa mada, na wote mlio taka kujua juu ya nani aliwatuma.Akili ndogo anazo nani!?
Wewe mwenye akili nyingi umefanya nn baada ya kujua aliyewatuma!?Wewe mtoa mada, na wote mlio taka kujua juu ya nani aliwatuma.
jana baada ya kusikiliza hotuba ya kitima kuna jamaa yangu nilimwambia kesho samuya anajaa kwenye mtego mapema leo kaniipigia simu kaniambia mi mchawi wale TEC akili kubwa mno wapo mbele ya muda.Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.
She justified her killings!
TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.
Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.
Wanamfahamu mweupe kichwani lazima angejaajana baada ya kusikiliza hotuba ya kitima kuna jamaa yangu nilimwambia kesho samuya anajaa kwenye mtego mapema leo kaniipigia simu kaniambia mi mchawi wale TEC akili kubwa mno wapo mbele ya muda.
asee kajivua nguoWanamfahamu mweupe kichwani lazima angejaa
Rais Samia Suluhu amesema, haina haja ya kupeleka maandamano X-mass, muda wowote mkitaka kuja nyie njooni tu mtakuta tumejipanga. Haya ndio mambo tunapenda kusikia, leteni usenge wenu sasa.Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.
She justified her killings!
TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.
Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.
Hakuna cha TEC wala nini? Sema Fr Kitima, mimi ni Mkatoliki lakini sikubaliani na Fr Kitima alivyoingia kwenye siasa huku bado anavaa kanzu na kola ya altareni. Mwambieni avue kanzu avae makaki kama Lissu au Slaajana baada ya kusikiliza hotuba ya kitima kuna jamaa yangu nilimwambia kesho samuya anajaa kwenye mtego mapema leo kaniipigia simu kaniambia mi mchawi wale TEC akili kubwa mno wapo mbele ya muda.
Hao wavaa majoho wenye degree za bibilia wanaakili gani zaidi ya kulewa divai?jana baada ya kusikiliza hotuba ya kitima kuna jamaa yangu nilimwambia kesho samuya anajaa kwenye mtego mapema leo kaniipigia simu kaniambia mi mchawi wale TEC akili kubwa mno wapo mbele ya muda.