Mie sio Mkatoliki,ni Muislamu.Hakuna cha TEC wala nini? Sema Fr Kitima, mimi ni Mkatoliki lakini sikubaliani na Fr Kitima alivyoingia kwenye siasa huku bado anavaa kanzu na kola ya altareni. Mwambieni avue kanzu avae makaki kama Lissu au Slaa
Hebu fafanua "Siasa gani Dk.Kitima anazihubiri?"