PostGE2025 She has justified her killings. TEC walicheza karata zao vizuri dhidi ya Samia kupitia Padre Kitima

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.

She justified her killings!

TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.

Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.
Mwanamke Katoa mapovu kama Mwajuma ndala ndefu
 
jana baada ya kusikiliza hotuba ya kitima kuna jamaa yangu nilimwambia kesho samuya anajaa kwenye mtego mapema leo kaniipigia simu kaniambia mi mchawi wale TEC akili kubwa mno wapo mbele ya muda.
Bro wew unaonekana una uelewa.hebu nisaidie.nimekaa natafakar kaul.kwamba nguvu iliyotumika ni sawa na tishio la mapinðůẓ̌.sabb waandamanaj walikua wanataka kuangusha.so pale vyombo vilikua on total war?
 
Swali zuri, tuliwakataza vijana hili la uasi na kuwakemea wote walio chochea haya, kabla hayajatokea na bado tunaendelea kufanya hivyo.
Kumbe ww ***** pia huna hoja unawakataza vijana kwa mamlaka yapi na Sheria zipi!?
 
Bro wew unaonekana una uelewa.hebu nisaidie.nimekaa natafakar kaul.kwamba nguvu iliyotumika ni sawa na tishio la mapinðůẓ̌.sabb waandamanaj walikua wanataka kuangusha.so pale vyombo vilikua on total war?
Total war against raia wasio na silaha.

Huo ni ushamba na ujinga wa kiwango Cha SGR
 
Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.

She justified her killings!

TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.

Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.

😀 kwamba kipa katema mpira kwa adui
 
Form IV leaver anataka kushindana na akili kubwa....!!
 
Kumbe ww ***** pia huna hoja unawakataza vijana kwa mamlaka yapi na Sheria zipi!?

Huwa sijadiliani na watu wenye matusi. Sababu kutukana ni ishara ya kuikosoa hoja.

Kazi yangu nimemaliza kijana.
 
Leo Samia kaongea kama kamanda wa vita akiongoza mapambano kwenye uwanja wa vita.Nimekumbuka mbali sana kipindi napigana vita dhidi ya Nduli kule mbarara.
Mkuu wewe si ulikuwa MPISHI TU wa jeshi Kipindi hicho cha vita.ila ulifanya kazi nzuri ya kuhakikisha jamaa wanakula vizuri hadi kumshinda IDD AMINI
 
Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.

She justified her killings!

TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.

Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.
Tulitarajia ***** la ***** kitima kuja na uchoko kama huu. Udini wenu umefika mwisho washenzi wakubwa nyie. Mnamsumbua mama wa watu kisa dini tu?!!!! Mamamamae kweli.
 
Back
Top Bottom