PostGE2025 She has justified her killings. TEC walicheza karata zao vizuri dhidi ya Samia kupitia Padre Kitima

PostGE2025 She has justified her killings. TEC walicheza karata zao vizuri dhidi ya Samia kupitia Padre Kitima

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.

She justified her killings!

TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.

Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.
Ignate so that it can explode..😂😂😂😂
 
Hakuna cha TEC wala nini? Sema Fr Kitima, mimi ni Mkatoliki lakini sikubaliani ba Fr Kitima alivyoingia kwenye siasa huku bado anavaa kanzu na kola ya altareni. Mwambieni avue kanzu avae makaki kama Lissu au Slaa
Ww ***** huna mamlaka ya kumpangia Fr Kitima namna ya kufanya siasa.
 
Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.

She justified her killings!

TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.

Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.
KWAHIYO MTAFANYA NINI SASA?
 
Leo Samia kaongea kama kamanda wa vita akiongoza mapambano kwenye uwanja wa vita.Nimekumbuka mbali sana kipindi napigana vita dhidi ya Nduli kule mbarara.
Ukiongea kikamanda, ndo unakua na matumizi sifuri ya Akili??.

Nyinyi mliingizwa jeshimi sababu ya Urefu na ukubwa wa Mwili , haya ndio madhara yake !!
 
Back
Top Bottom