NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Wa kwanza ni Jumanne Muliro aliesema zile video ni AI na mkamuunga mkono,mara hii mmesahau??Shida ni akili zenu ndogo, hili jambo linajulikana wazi
Ajabu mlikuwa mnauliza maswali ambayo majibu yako wazi na yanajulikana.
Wa kwanza ni Jumanne Muliro aliesema zile video ni AI na mkamuunga mkono,mara hii mmesahau??
Swali zuri, tuliwakataza vijana hili la uasi na kuwakemea wote walio chochea haya, kabla hayajatokea na bado tunaendelea kufanya hivyo.Wewe mwenye akili nyingi umefanya nn baada ya kujua aliyewatuma!?
Dude kubwa lisilo na akili, kwahiyo ukubwa wake unakuwa hauna maana.Ukweli usemwe TEC ni dude kubwa. Moyoni anatamani kulifungia ila anaogopa.
Ignate so that it can explode..😂😂😂😂Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.
She justified her killings!
TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.
Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.
Muwe na kumbukumbu sio kama Samia ,unachoongea leo kina athari kesho...Jikite kwenye nukta ya mzozo.
Hii bato ni bahati mbaya mnasaidiwa na policcm ingekuwa ni nyie uvccm aisee tungewafraa balaa!Rais Samia Suluhu amesema, haina haja ya kupeleka maandamano X-mass, muda wowote mkitaka kuja nyie njooni tu mtakuta tumejipanga. Haya ndio mambo tunapenda kusikia, leteni usenge wenu sasa.
Kamanda Gani anashika kiuno mbele ya wazeeLeo Samia kaongea kama kamanda wa vita akiongoza mapambano kwenye uwanja wa vita.Nimekumbuka mbali sana kipindi napigana vita dhidi ya Nduli kule mbarara.
Msenge ni huyo anayeshika viuno mbele ya wazeeRais Samia Suluhu amesema, haina haja ya kupeleka maandamano X-mass, muda wowote mkitaka kuja nyie njooni tu mtakuta tumejipanga. Haya ndio mambo tunapenda kusikia, leteni usenge wenu sasa.
Ww ***** huna mamlaka ya kumpangia Fr Kitima namna ya kufanya siasa.Hakuna cha TEC wala nini? Sema Fr Kitima, mimi ni Mkatoliki lakini sikubaliani ba Fr Kitima alivyoingia kwenye siasa huku bado anavaa kanzu na kola ya altareni. Mwambieni avue kanzu avae makaki kama Lissu au Slaa
Hilo swali ungewauliza wanaopaka ndevu breachHao wavaa majoho wenye degree za bibilia wanaakili gani zaidi ya kulewa divai?
KWAHIYO MTAFANYA NINI SASA?Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.
She justified her killings!
TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.
Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.
Ngoja tuone kama mtawaua vijana wote nchiniUkiandama tarehe 9 au 25 umesaini KIFO CHAKO mwenyewe…Mwenye masikio na asikie
Ww kajifariji na mme wako Abdul hii vita huiwezi waachie Gen ZKWAHIYO MTAFANYA NINI SASA?
Hao akinapadre kitime?Hilo swali ungewauliza wapaka ndevu breach
Walisema hayo 29 oct, na watu wakatoka. Katiba haijapinga kuandamanaUkiandama tarehe 9 au 25 umesaini KIFO CHAKO mwenyewe…Mwenye masikio na asikie
Ukiongea kikamanda, ndo unakua na matumizi sifuri ya Akili??.Leo Samia kaongea kama kamanda wa vita akiongoza mapambano kwenye uwanja wa vita.Nimekumbuka mbali sana kipindi napigana vita dhidi ya Nduli kule mbarara.