Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Vita ya kupiga wasio na silaha na wengine wamekaa ndani kwao wanakula, acha kufikiria kwa kutumia makalioLeo Samia kaongea kama kamanda wa vita akiongoza mapambano kwenye uwanja wa vita.Nimekumbuka mbali sana kipindi napigana vita dhidi ya Nduli kule mbarara.
Mwanamke Katoa mapovu kama Mwajuma ndala ndefuKuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.
She justified her killings!
TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.
Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.
Bro wew unaonekana una uelewa.hebu nisaidie.nimekaa natafakar kaul.kwamba nguvu iliyotumika ni sawa na tishio la mapinðůẓ̌.sabb waandamanaj walikua wanataka kuangusha.so pale vyombo vilikua on total war?jana baada ya kusikiliza hotuba ya kitima kuna jamaa yangu nilimwambia kesho samuya anajaa kwenye mtego mapema leo kaniipigia simu kaniambia mi mchawi wale TEC akili kubwa mno wapo mbele ya muda.
Hata wewe utakaye kuja kupigana na wandamanaji utakuwa umesaini kifo .Sisis pia tumejipanga .Ukiandama tarehe 9 au 25 umesaini KIFO CHAKO mwenyewe…Mwenye masikio na asikie
Na badoLarry Madowo alikuwa live hapo CNN muda si mrefu "Tanzanian President Justifies Killings"
Kumbe ww ***** pia huna hoja unawakataza vijana kwa mamlaka yapi na Sheria zipi!?Swali zuri, tuliwakataza vijana hili la uasi na kuwakemea wote walio chochea haya, kabla hayajatokea na bado tunaendelea kufanya hivyo.
Total war against raia wasio na silaha.Bro wew unaonekana una uelewa.hebu nisaidie.nimekaa natafakar kaul.kwamba nguvu iliyotumika ni sawa na tishio la mapinðůẓ̌.sabb waandamanaj walikua wanataka kuangusha.so pale vyombo vilikua on total war?
Kwani Hana washauri !? ,😁😁Wanamfahamu mweupe kichwani lazima angejaa
Washauri wake ni mapete na TivuKwani Hana washauri !? ,😁😁
😁😁😁Washauri wake ni mapete na Tivu
Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.
She justified her killings!
TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.
Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.
Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.
She justified her killings!
TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.
Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.
Kamfire mama yako kwanzaHii bato ni bahati mbaya mnasaidiwa na policcm ingekuwa ni nyie uvccm aisee tungewafraa balaa!
Wewe inajulikana malinda walishakutoa siku nyingi sana umebakisha tobo tuuKamfire mama yako kwanza
Kumbe ww ***** pia huna hoja unawakataza vijana kwa mamlaka yapi na Sheria zipi!?
Hakuna kamanda wa vita dhidi ya WATU wako mwenyewe.Leo Samia kaongea kama kamanda wa vita akiongoza mapambano kwenye uwanja wa vita.Nimekumbuka mbali sana kipindi napigana vita dhidi ya Nduli kule mbarara.
Mkuu wewe si ulikuwa MPISHI TU wa jeshi Kipindi hicho cha vita.ila ulifanya kazi nzuri ya kuhakikisha jamaa wanakula vizuri hadi kumshinda IDD AMINILeo Samia kaongea kama kamanda wa vita akiongoza mapambano kwenye uwanja wa vita.Nimekumbuka mbali sana kipindi napigana vita dhidi ya Nduli kule mbarara.
Tulitarajia ***** la ***** kitima kuja na uchoko kama huu. Udini wenu umefika mwisho washenzi wakubwa nyie. Mnamsumbua mama wa watu kisa dini tu?!!!! Mamamamae kweli.Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila kutumia nguvu kubwa bali akili.
She justified her killings!
TEC wamemfanya Samia "AKIRI" bila hata yeye kujua masikini.
Kazi kwenu wadau nani atamfunga paka kengele !?.