PostGE2025 She has justified her killings. TEC walicheza karata zao vizuri dhidi ya Samia kupitia Padre Kitima

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mungu kaamua tuonesha tujue kisha tuchukue uamuzi
 
Huwa sijadiliani na watu wenye matusi. Sababu kutukana ni ishara ya kuikosoa hoja.

Kazi yangu nimemaliza kijana.
Wewe unatetea mauaji na muuaji.

Ww hustahili hata punje ya heshima, useless idiot.
 
Tulitarajia ***** la ***** kitima kuja na uchoko kama huu. Udini wenu umefika mwisho washenzi wakubwa nyie. Mnamsumbua mama wa watu kisa dini tu?!!!! Mamamamae kweli.
Ww ni mshenzi tu, unaharibu Uzi.

Useless idiot.
 
Dude kubwa lisilo na akili, kwahiyo ukubwa wake unakuwa hauna maana.

Yaani TEC ni kubwa jinga.
Kwa mara ya kwanza wanaenda kukutana na Rais aliyewaambia ukweli mchungu. Wasipojiangalia ile nguvu yao ya kujiona kama ndiyo wanaoongoza nchi inaenda kupuuzwa. Na hiyo ni kanuni ya dunia, ukiwa mkubwa basi jiweke kwenye namna ya kuheshimiwa, kwani ukipuuzwa, maji utaita togwa
 
Muda umefika sasa kwa mapadre kwenda kutoa huduma ya kiroho madhehabuni. Ya serikali tuwaachie serikali.
 
TEC wamevumisha upepo, nyeti za kuku zimeonekana leo. Taarabu ya Mzee Yusuph.
 
Kumbe tar 29 alijipanga kuuwa na tar 9 kasema wamejipanga duh!
 
Hakuna cha TEC wala nini? Sema Fr Kitima, mimi ni Mkatoliki lakini sikubaliani na Fr Kitima alivyoingia kwenye siasa huku bado anavaa kanzu na kola ya altareni. Mwambieni avue kanzu avae makaki kama Lissu au Slaa
Hakuna Mkatoliki mjinga wa hivi acha kujipendekeza
 
Hakuna cha TEC wala nini? Sema Fr Kitima, mimi ni Mkatoliki lakini sikubaliani na Fr Kitima alivyoingia kwenye siasa huku bado anavaa kanzu na kola ya altareni. Mwambieni avue kanzu avae makaki kama Lissu au Slaa
Usimpangie maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…