Mie sio Mkatoliki,ni Muislamu.Hakuna cha TEC wala nini? Sema Fr Kitima, mimi ni Mkatoliki lakini sikubaliani na Fr Kitima alivyoingia kwenye siasa huku bado anavaa kanzu na kola ya altareni. Mwambieni avue kanzu avae makaki kama Lissu au Slaa
Ukiongea kikamanda, ndo unakua na matumizi sifuri ya Akili??.
Nyinyi mliingizwa jeshimi sababu ya Urefu na ukubwa wa Mwili , haya ndio madhara yake !!
Ulitaka niingie nikiwa na mwili goigoi?kamanda anatakiwa awe na mwili mkubwa.Ukiongea kikamanda, ndo unakua na matumizi sifuri ya Akili??.
Nyinyi mliingizwa jeshimi sababu ya Urefu na ukubwa wa Mwili , haya ndio madhara yake !!
Ni kwamba alili yako ni ya mende tu ndiyo maana huwezi kusimama kwenye mjadala zaidi ya kutoa sweeping statement. Nani kakuambia Wakatoliki wote tunafikiri kama Kitima?nimekuambia hakuna mkatoliki mjinga wa hivi acha kujipendekeza
Yaani mpaka hapo hujajua kuwa Kitima ana kadi ya CHADEMA na nyaraka zote anaandika zinabeba maudhui ya CHADEMA?Mie sio Mkatoliki,ni Muislamu.
Hebu fafanua "Siasa gani Dk.Kitima anazihubiri?"
Katiba haijapinga kufa.Walisema hayo 29 oct, na watu wakatoka. Katiba haijapinga kuandamana