She is having my baby, I can't get married to her!

She is having my baby, I can't get married to her!

Tatizo kubwa mzazi mwenzio alikuwa au amekuweka plan A wakati wewe umemuona yeye ni plan B. Nadhani baada ya nyie kubarikiwa mtoto (hata kama hamkupanga), alijua ndo tayari mtakuwa familia yaani umuoe.

am telling you by then,i never had any plan!NEITHER A NOR B.nisingependa kuelezea kilichotokea kwakweli kwasababu..................dah!anyaways,AHSANTE KWA USHAURI!the thing is I DON'T LOVE HER!I have tried to in so many ways lakin IT NEVA WORKED
 
(maana inaelekea condom kwako ni proverb) utamfanyia hivo hivo. .

hahahah!thank u for the maximum advice,namshukuru mungu I AM NOT A WOMANISER,that is one!again nisingependa kuelezea nini kilitokea KWASABABU ZA KIMAADILI!

LAKINI PIA:i have the special feelings for this woman i call MY LOVE!now
 
jamani mnanishutumu kwa kutotumia zana!?

inawezekana ni udhaifu wangu,au niseme ndio kosa kubwa la kwangu!
Sasa mimi kuishi nae kwakweli ni kunilazimisha!because I DON'T LOVE HER FROM MY HEART,ilikuwa ni katika kukata kiu hapa na pale

Hakuna anayekushutumu...,fikiria kama ungekuwa umekanyaga mawaya ingekuwa vipi! Udhaifu wako ndio uliokuponza ila sina nia ya kukulaumu. Nadhani wewe umelelewa kwa mapenzi toka kwa baba na mama hivyo ni jukumu lako pia kuhakikisha mnamlea mwanenu kwa mapenzi yote. Jiulize swali..., je nikioa mwanake mwingine mwanangu atapata wapi mapenzi ya dhati? Dont be selfish binti yako anahitaji malezi bora ya wazazi wote wawili.
 
am telling you by then,i never had any plan!NEITHER A NOR B.nisingependa kuelezea kilichotokea kwakweli kwasababu..................dah!anyaways,AHSANTE KWA USHAURI!the thing is I DON'T LOVE HER!I have tried to in so many ways lakin IT NEVA WORKED

Its good kujua upande wako, je upande wa huyo bibie ukoje?Anakupenda inavyoonyesha kwanini akung'ang'anie tu jamani, au kuondoa nuksi tu yaishe?
Wewe mwenyewe unatakiwa ukae nae chini na kumwambia kuwa ndoa hailazimishwi na inaenda kwa upendo kati ya wapenzi ila muhakikishie kuwa mahusiano mazuri kama wazazi mtayaimaisha na kuwa pamoja kimalezi na kwa ajili ya mtoto wenu. Ila anaweza kukuharibia hata huko unakotaka kuoa, yaani mkose wote!
 
...,fikiria kama ungekuwa umekanyaga mawaya ingekuwa vipi! Udhaifu wako ndio uliokuponza ila sina nia ya kukulaumu. Nadhani wewe umelelewa kwa mapenzi toka kwa baba na mama hivyo ni jukumu lako pia kuhakikisha mnamlea mwanenu kwa mapenzi yote. Jiulize swali..., je nikioa mwanake mwingine mwanangu atapata wapi mapenzi ya dhati? Dont be selfish binti yako anahitaji malezi bora ya wazazi wote wawili.

AHSANTE KWA USHAURI!
unajua nin,nimelelewa na nimekua hadi mzazi wangu mmoja akatangulia mbele ya haki,sikuwahi kuona WALA KUSIKIA baba na mama wakigombana.nilikuwa nasikia na kwenda kuamulia ugomvi kwenye ndoa za watu.I BELIEVE THAT BABA ALIISHI NA MTU ALIYEMPENDA!

naomba nieleweke kwamba SITETEI UOVU WANGU!ila kwasababu nimeshakosea hapa mwanzo,na ninajuta sana kwa hilo,NISINGEPENDA KUONA MY KID anakua akiona I AM NOT HAPPY WITH MY MARRIAGE!au akasikia tukifokeana na mama ake!unajua nini,i am about to tell you people WHAT HAPPENED
 
Its good kujua upande wako, je upande wa huyo bibie ukoje?Anakupenda inavyoonyesha kwanini akung'ang'anie tu jamani, au kuondoa nuksi tu yaishe?
dada angu,hii nikubali yaishe!UONDOE MKOSI!nakumbuka tulivyofahamiana,ni AIBU!baada ya hapo tuligombana sana TENA SAAANA!akakata mguu kama miezi kadhaa,aliporudi alikuwa na kazi AKALETA MAPOZI YA AJABU,kuonana nae ilikuwa mpaka uandike barua.sasa siku moja niliyokutana nae ilikuwa ST VALENTINE DAY,unajua tena hiyo siku ina 'ushaishi mkubwa' katika mambo hayo,na pia kuna kitu MOB SAIKOLOJI ILINIATHIRI!sasa kama ni shetani au ni mungu SIJUI!YAKATOKEA YA KUTOKEA!
AM TELLING YOU THAT WOMAN WAS GOING FOR ABORTION!nikamsihi tu kwamba 'you can't do that',ho knows pengine ndio mtoto wako pekee ambae mungu amekupangia,alikaa kama wiki tatu akalewa.i will tell you more......

Ila anaweza kukuharibia hata huko unakotaka kuoa, yaani mkose wote!
HILI ALILITAMKA WAZI!
 
AHSANTE KWA USHAURI!
unajua nin,nimelelewa na nimekua hadi mzazi wangu mmoja akatangulia mbele ya haki,sikuwahi kuona WALA KUSIKIA baba na mama wakigombana.nilikuwa nasikia na kwenda kuamulia ugomvi kwenye ndoa za watu.I BELIEVE THAT BABA ALIISHI NA MTU ALIYEMPENDA!

naomba nieleweke kwamba SITETEI UOVU WANGU!ila kwasababu nimeshakosea hapa mwanzo,na ninajuta sana kwa hilo,NISINGEPENDA KUONA MY KID anakua akiona I AM NOT HAPPY WITH MY MARRIAGE!au akasikia tukifokeana na mama ake!unajua nini,i am about to tell you people WHAT HAPPENED


That will be much better.....
 
Duh! aisee hii kali kwanza pole za nini??? ulijua the repurcussions of your actions...ndio hapo kabinti innocent kakazaliwa.... sasa hapo ujue ni doa ambalo huwezi kulifuta hata uende wapi, ufanye nini...watu watakurefer to as the one who ballooned so n so na akamuacha mataani!!!

Pili tuweni wazi, ndoa au penzi jamani halilazimishwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! ya nini kujitesa kuishi na mtu ambaye humpendi? maisha mafupi and the best u can do is to share it with somebody u love.

uamuzi wako lakini ukumbuke hako kabinti hakana makosa yoyote.
 
thank u SHISHI!at least you give me life
 
thank u SHISHI!at least you give me life


Karibu...see my signature...s**** happens all the time... plus I can see you are making things happen....lol

huyo binti naona ataleta sana kasheshe harusini yako na umpendae...u know that part of...anybody who has any reason to stop this two from...... ah ole wako. u better sort this out mapema....
 
S****t Happenz!

NITUMIE hizo blanks za nyota hata kwenye PM,maanake dah!
ANYWAYS,thank u in advance
 
Geoff mkuu lazima urogwe kubali yaishe....warombo mademu wao wana vizizi sana utarogwa mashine haitapanda mtungi.....wanaroga hata ukiongea nae kwenye simu kwisha habari yako.....
ushauri hapo mpe live tu mtoto mchukue akigoma abaki nae....ila anza kutafuta mitishamba ya kujilinda..
 
Geoff mkuu lazima urogwe kubali yaishe....warombo mademu wao wana vizizi sana utarogwa mashine haitapanda mtungi.....wanaroga hata ukiongea nae kwenye simu kwisha habari yako.....
ushauri hapo mpe live tu mtoto mchukue akigoma abaki nae....ila anza kutafuta mitishamba ya kujilinda..

ASANTE BABA!nimekubaliana na hii hapa ushauri hapo mpe live tu mtoto mchukue akigoma abaki nae....ila anza kutafuta mitishamba ya kujilinda

ahsante!
 
Mkuu, nadhani si wewe pekee kuwahi kutokewa na hali kama hii, mtoto si kigezo cha kukufanya ukose raha for the rest of your life.....sina maana kuwa umtelekeze au kumsusa, hiyo ni dhambi kubwa kwani hana makosa! tukumbuke kuwa hata dini na jamii japo sio zote zinachukulia na kutambua kuwa mkishaoana ni mpaka kifo kiwatenganishe, kumuoa ambaye hayuko moyoni ni sawa na kuharakisha kifo chako! Ni wengi pia wamekuwa na mapenzi na wamefanya mapenzi bila hizo kondom lakini hawajaoana, sidhani kama takwimu zitakuwa sawa tukisema kuwa kila mtu kaoana na yule tu ambaye aliwahi kufanya naye mapenzi bila kondom, hivyo kwa hili tusimhukumu sana G.
-Ushauri wangu, jaribu kukaa na huyo binti mueleze hisia zako si kwa hasira wala kudanganyana, nadhani atakuelewa...inawezekana kabisa mwenyewe halipendi hilo ila kuna shinikizo au anahofia macho ya watu
-Mwombe kidiplomasia akupe mtoto ili umlee, akikataa kubali kuchukua gharama zote za malezi ya mtoto
-Pia itabidi ukubali kumsaidia kwa lile ambalo una uwezo nalo pindi anapokuomba msaada
-inabidi mbakie marafiki na huyo mtarajiwa wako anapaswa kumfahamu,pia epuka kukutana naye kwa kificho
 
Geoff mwanakwetu,
Usijunje daraja baada ya kulivuka. Ninavyoona mimi ni mweleze taratibu mzazi mwenzio na nina imani atakuelewa na mtakuwa marafiki wzuri tu ili muweze kumlea mtoto wenu kwa upendo asije akawa mtoto wa mtaani. Ukweli wote mnaujua nyie wenyewe, msifichane muwe wazi mjadili.Inauma sasa pale unapokuwa na mtoto na mzazi mwenzio akakataa kukuoa.na labda ukizingatia mwanamke lazima atakuwa alisacrifice mambo mengi ili kumlea mtoto wenu. We need to appreciate wale wanaotuletea na kutulelea watoto jamani. Kizuri zaidi umepata binti kama mama yake ( think twice). Pili jamani hata hizi ndoa tulizonazo haziko perfect. Nimara ngapi tumepatwa mawazo laiti ningeolewa na.. au ningemuoa...Yote hii ni kuonyesha kwamba ni lazima tuishi kwa kuvumiliana sana. Muombe Mungu akupe ujasiri wa kukabiliana na yote.
 
Geoff mwanakwetu,
Usijunje daraja baada ya kulivuka. Ninavyoona mimi ni mweleze taratibu mzazi mwenzio na nina imani atakuelewa na mtakuwa marafiki wzuri tu ili muweze kumlea mtoto wenu kwa upendo asije akawa mtoto wa mtaani. Ukweli wote mnaujua nyie wenyewe, msifichane muwe wazi mjadili.Inauma sasa pale unapokuwa na mtoto na mzazi mwenzio akakataa kukuoa.na labda ukizingatia mwanamke lazima atakuwa alisacrifice mambo mengi ili kumlea mtoto wenu. We need to appreciate wale wanaotuletea na kutulelea watoto jamani. Kizuri zaidi umepata binti kama mama yake ( think twice). Pili jamani hata hizi ndoa tulizonazo haziko perfect. Ni mara ngapi tumepatwa mawazo laiti ningeolewa na.. au ningemuoa...Yote hii ni kuonyesha kwamba ni lazima tuishi kwa kuvumiliana sana. Muombe Mungu akupe ujasiri wa kukabiliana na yote.


AHSANTE KWA USHAURI BABA!maneno niliyoyabold YAMENIINGIA KIUKWELI
 
Haijalishi mchaga,mmakonde,mjaluo wala nini.Kiubinadamu unachokifanya si kitendo kizuri,wanaume ndivyo mlivyo mnatuchezea mnatuharibia maisha then mnatubwaga.wanaume wengi siku hizi hawataki kabisa kuoa wanawake waliozalishwa,sasa unadhani umemtendea vema mwenzio?Nayeye alikuwa na ndoto zake za kuishi maisha ya ndoa na watoto wake siku moja,kwann umfanyie hivo?Ndio maana wanawake wengi siku hizi tunapanga foleni kwa waganga kuwakomesha kwa tabia zenu zisizo na huruma.
 
...Ndio maana wanawake wengi siku hizi tunapanga foleni kwa waganga kuwakomesha kwa tabia zenu zisizo na huruma................

punguza JAZBA DIANA!mimi SIKUBAKA!NA SIKUTANGAZA NDOA KABISA!

ingawa kwakweli nakiri NILIKOSEA!kwasababu hata mimi siifurahii hii hali,lakini pia nisingependa kuishi maisha na mtu ambae SINA FEELINGS KABISA,kwasababu naamini sitafika nae mbali

KUKOSEA NI UBINAADAMU MAMA
 
Back
Top Bottom