Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
kwa sasa huwezi kumuoa kwanini? kawa mbaya kitabia,kisura au vipi?
Hehehehe labda kachuja.
Kama kachuja mtamlazimisha amwoe ndo chanzo cha nyumba ndogo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sasa huwezi kumuoa kwanini? kawa mbaya kitabia,kisura au vipi?
wanaume ndivyo mlivyo mnatuchezea mnatuharibia maisha then mnatubwaga.
Feelings unazozisema Geoff huwa zinakuja na kuondoka au kupotea kabisa ni hali ya ubinadamu. hata unayetaka kumuona sasa hivi una feelings naye sana lakini itafika kipindi hautatamani hata kumuona. hivi vitu viko within na inatakiwa tuvicontrol na kuwekea mbolea. Jifunze kutosheka na kuwa na kiasi.Isije ukaja tena hapa JF kuomba ushauri ulikoenda siko. Wewe ndiyo unajua. Elewana na mzazi mwenza na usilazimishe kumchukua mtoto. Mwenye uchungu na mapenzi halisi ya mtoto ni mama yake. Timiza wajibu wako kwa mtoto kwa kumtunza. Umweleze pia unayetaka kumuoa(uliye na feelings kwake) kuwa una binti.Play it softly usimfrusteate mzazi mwenzako akashindwa kumlea mtoto wako ukajutia maisha.
Huyo dada si mkeo na hata kisheria kama hujakaa naye baada ya kuzaliwa mtoto na kama hukuwa umemuahidi vinginevyo. Hana haki ya kukufanyia hivyo ingawa nawe ulimkosea sana.
Sijui taratibu za kidini zinasemaje juu ya hilo but sidhani kama ni kikwazo kwako unless ulikuwa unaishi naye kama mkeo
thanks!
you sound like somebody I KNOW!
??/????
Kwanza pole ni mkasa huu, ushauri wangu kama mama na pia kama mtu niliyepitia huko:
1. Unapaswa kwanza umruidie Mungu wako, juta kosa lako na mengine uliyofanya aina hii, kujuta ina maana usilirudie tena
2. wote wawili mlikosa, zaidi msichana kama hakubakwa kwani kama usemavyo anafanyakazi ni umri wa kuwa na utashi wa mema na mabaya na zaidi matokeo ya ngona zembe kwake yeye binti (unless ulimlewesha)
3. nadhani hapa uko kwenye family way hata kama hutaki kukubali UNA MTOTO! chamsingi tafuta jinsi ya huyu mtoto kukua kwa amani, mara nyingi makabila mengi mtoto ni wamama na wakwe wangekusaidia kumlea mradi upeleke matunzo binti angepata nafasi ya kuolewa baadae, lakini kwa wachagga mhh binti asiye bikra - (believe me at this era) kwakuonyeshwa kazaa itakuwa ngumu!
Hivyo achana na issue za kuoa harakaharaka tafuta nani atakubali kumlea mtoto wako kwa amani - kama una mama mzuri so much the better - la subiri songombingo iishe binti ampeleke kwao lakini tegemea gubu kila unapotia mguu kumuona!
4. kuhusu kumuoa kama humpendi NO! ni mbaya zaidi ondoa wazo kabisa maana utaleta UKIMWI then watoto wa mtaani bora uwe na mke/mumw umpendae na hata huyo binti akikua atakuja kukaa na kuwa proud of you!
5. ni Kipindi cha kujikabidhi mikononi mwa Mungu wala usitafute uganga wala nini, Mungu anasamehe na hata huyo msichana umweleze hivyo na atawawezesha kila mtu kumpata mtu bora kwake
6. Jaribu kujutia kosa lako na kumweleza mwenzio taratibu, ndio utatukanwa sana afu atakusikiliza baadae, ili uwe na amani maana bila hata ya kurogwa wengine dhamira tu inawasuta kiasi hiyo ndoa mpya itakushinda.
7. all the best
thanks geoff, kama umenielewa, kuomba kutakupa amani, utulivu na you will become humble enough to say i am sorry to her, her parents but will give you strength to say no to any pressure from her, her parents or your new girlfriend or your parent. Its time you become mature - make your decisions clearly without influence so you need gods guidence - believe me an independent and good girl can't force someone to marry her coz of a child coz she has got other chances, even her will regret the marriage in the end, so cool down!
Kwanza pole ni mkasa huu, ushauri wangu kama mama na pia kama mtu niliyepitia huko:
1. Unapaswa kwanza umruidie Mungu wako, juta kosa lako na mengine uliyofanya aina hii, kujuta ina maana usilirudie tena
2. wote wawili mlikosa, zaidi msichana kama hakubakwa kwani kama usemavyo anafanyakazi ni umri wa kuwa na utashi wa mema na mabaya na zaidi matokeo ya ngona zembe kwake yeye binti (unless ulimlewesha)
3. nadhani hapa uko kwenye family way hata kama hutaki kukubali UNA MTOTO! chamsingi tafuta jinsi ya huyu mtoto kukua kwa amani, mara nyingi makabila mengi mtoto ni wamama na wakwe wangekusaidia kumlea mradi upeleke matunzo binti angepata nafasi ya kuolewa baadae, lakini kwa wachagga mhh binti asiye bikra - (believe me at this era) kwakuonyeshwa kazaa itakuwa ngumu!
Hivyo achana na issue za kuoa harakaharaka tafuta nani atakubali kumlea mtoto wako kwa amani - kama una mama mzuri so much the better - la subiri songombingo iishe binti ampeleke kwao lakini tegemea gubu kila unapotia mguu kumuona!
4. kuhusu kumuoa kama humpendi NO! ni mbaya zaidi ondoa wazo kabisa maana utaleta UKIMWI then watoto wa mtaani bora uwe na mke/mumw umpendae na hata huyo binti akikua atakuja kukaa na kuwa proud of you!
5. ni Kipindi cha kujikabidhi mikononi mwa Mungu wala usitafute uganga wala nini, Mungu anasamehe na hata huyo msichana umweleze hivyo na atawawezesha kila mtu kumpata mtu bora kwake
6. Jaribu kujutia kosa lako na kumweleza mwenzio taratibu, ndio utatukanwa sana afu atakusikiliza baadae, ili uwe na amani maana bila hata ya kurogwa wengine dhamira tu inawasuta kiasi hiyo ndoa mpya itakushinda.
7. all the best
Karibu...see my signature...s**** happens all the time... plus I can see you are making things happen....lol
huyo binti naona ataleta sana kasheshe harusini yako na umpendae...u know that part of...anybody who has any reason to stop this two from...... ah ole wako. u better sort this out mapema....
Kulazimwisha kivipi kwani hiyo mimba ilitunga vipi kama mlikuwa hampendani?? Ikiwa kama ulikuwa humpendi basi wewe ni mbakaji maana hadi mimba itunge ni kwamba ulikuwa unampenda kwa dhati na hukujali kutumia condom, sasa kwanini sasa useme humpendi???
Unajua wewe ni mtu mzima unajua jinsi ya kujikinga sio tu na mimba hata magonjwa ya zinaa sasa kanini ufanye bila kondom.
Huyu binti anahaki kabisa ya kuolewa na wewe mlipendana now unamwona si mali kitu unataka kumtosa. Kwanza unatakiwa umshukuru na kumweshimu maana bila yeye usingeonekana ni rijali na unauzazi ,kwa maoni yangu kumwoa na kuishi nae ni wajibu wako.
Nyie ndio mnao ongeza idadi ya watoto wa mitaani duniani,jambo jingine geuza upande wapili ungekuwa ww umefanyiwa hivyo ungejisikia vipi. tatu angekuw mwanao ama dada yako kafanyiwa hivyo unefurahia!
Ukipata majibu ya maswali nilio kuuliza utajua uchungu alionao huyo dada.
NENDA KAMUOWE ACHA KUONGEZA IDADI YA WATOTO MITAANI NA WSIO NA MALEZI YA PANDE MBILI.