Bibi Kizee
JF-Expert Member
- Feb 18, 2008
- 211
- 9
Duuu mkuu mimi siwezi kuongea zaidi kuhusu hili swala kwa ujumla najuwa sio vizuri kumtelekeza mzazi mwenzio...
Pili Je ilikuwaje mpaka ukajirubuni kuzaa nae kama kweli unasema hujampenda??Maana ninachojuwa mimi ukifikia mwanamke umekubali kulala nae bila condom na kumzalisha basi utakuwa umekubaliana nae vitu vingi sana ndio maana amekubali kuzaa....sasa hivi wewe unasema kwamba humuhitaji anaona kama umembadilikia ndio maana
Tatu je wakati unalala nae bila condom hukujuwa kama siku zake zinakaribia au zimeshapita lakini hajawa sawa???
Nne je unaonaje hao watoto ambao walizaliwa nje ya ndoa na wanavyoishi na mama wa kambo wapo sawa kabisa au unaonaje kwa mtazamo wako??
Tano inaonekana ulimpenda sana tena sana wakati upo nae huyo mdada ila baada ya kuzaa nae na kulala nae kwa sana inaonekana umekinai na sasa hivi umemzalisha inaonekana kwamba umeshamchoka....
Sita bro hata mimi kama mimi siwezi kulazimishika kuowa sehemu nisiyokuwa nayo katika roho yangu au sehemu nisiyopenda so cha kufanya hapo think your self before you take any action.
Nadhani hayo ndio maoni yangu sina la zaidi ila mkuu nimekukubali umepiga mzigo sasa unaachia ngazi ndio maana yake...Kipindi hicho ulikuwa unapita tu si unajuwa tena!!
umelonga mkuu, lazima tukemee vitendo hivi, vituo vya watoto waishio katika mazingira magumu vinaongezeka, kama huna uhakika na unachokifanya tumia nyenzo!!