She is having my baby, I can't get married to her!


umelonga mkuu, lazima tukemee vitendo hivi, vituo vya watoto waishio katika mazingira magumu vinaongezeka, kama huna uhakika na unachokifanya tumia nyenzo!!
 
Shishi na mi nilitaka kupoint hapo..kwamba akitaka kufunga ndoa atakuja 'mzazi mwenzake' na kumwambia padre kuwa mimi hapa ndio mkewe kwa sababu nimeshazaa naye...

!

Vipingamizi hivi huwa ni burudani tu za kuchangamsha na kusababisha minong'ono na umbeya lakini havina nguvu ..kuzalisha siyo ndoa... na wala haiwezi kuwa sababu ya kutokufungisha watu ndoa.Kipingamizi kinachotambulika ni kile cha kisheria ( ndoa zote - bomani, kanisani au kwa shehe zinatambulika kisheria).Maadam unazungumzia kanisa..basi kipingamizi ni endapo mhusika ana ndoa nyingine tena ya Kanisani!
 

Exactly WoS, utakubaliana na mimi kuwa hiyo ni embarrassment tosha.

Pili, nadhani bado anaweza kuweka zuio mahakamani ili apate uhakika wa matunzo ya mtoto waliozaa pamoja....au?
 
Exactly WoS, utakubaliana na mimi kuwa hiyo ni embarrassment tosha.

Pili, nadhani bado anaweza kuweka zuio mahakamani ili apate uhakika wa matunzo ya mtoto waliozaa pamoja....au?

Zuio hapana Mkuu, ila akitaka kuwa nasty.. she can sue Geoff as a putative father and ask for maintenance of the child.
 

Sawa kabisa BK ndo maana nimemwambia ajue kuwa ni mzazi yaani awe responsible kwanza na mtoto huyo atakuwa wapi, atalelewa vipi kama ni msichana mwenyewe anapenda mwanae ok, wakwe sawa, mzazi wa Geoff au sivyo amchukue aishi nae ili huyo mchumba akute situation inaeleweka (kuna mtoto anahitaji matunzo)
Ni kweli watoto wa aina hii wanapata shida lakini si wote ni bora huko kwa baba/mama wa kambo au bibi kuliko ktk familia yenye ugomvi na mateso kama ndoa ya kulazimishwa. Mbona watu maarufu wengi tu walilelewa utotoni aina hii au kwenye vituo vya watoto yatima: Bill Clinton, Obama, Booker T. Washington na wengine wengi tu hapa Tz?
Mwenzetu amesema amekosa ni very rare, anachoomba ni ushauri afanye nini, mie ninapinga ndoa ya lazima kwani haisaidii itaharibu
Labda nikuulize wewe na mumeo wa 20 yrs, ghafla anaibuka msichana na mtoto na kusema itabidi aolewe na mumeo kwani Amezaa nae kwa kulala nae Valentine moja hivi! Je uaminifu wote wa miaka 20 uvunjike kwa 1 day?
Pili wanawake wenyewe wenye waume ndo wakorofi kupokea watoto wa nje na wakipokea ni watesaji, achia mbali kumpokea mke mwenza huyo?
Tukubali kuwa amekosa ila kosa hilo lisiwe sababu ya kumharibia maisha yeye, huyo msichan na mwishowe huyo mtoto pia kwa kuwaforce waishi pamoja.
 

thank U!
Susu.
NB:why are you people blaming me on the UNPROTECTED SEX?hivi mimi ndio mkosaji sana katika hili?
 
thank U!
Susu.
NB:why are you people blaming me on the UNPROTECTED SEX?hivi mimi ndio mkosaji sana katika hili?

ITS BECAUSE U R APPRECIATED AS A RESOURCEFUL PERSON..... sasa being careless in this matter inafanya watu wakasirike LOL
 
Unajua WOS wengi sheria za ndoa hatujui kumbe mi nilikuwa najua mtu ukisha zaa nae ukitaka kujiolewa mwingine basi yule anaweza weka pingamizi kuwa huyu ni mme wangu wkt hamjafunga ndoa ya kanisani au kimira au bomani kumbe anakuwa hana nguvu ya kukuzuia wewe kubeba kitu kingine...ok sasa nimefunguliwa macho.
Jamani sio mnapiga ovyo ovyo alafu mnachukulia kigezo hicho aaah nitaoa mwingine hii sio fair.
 
ITS BECAUSE U R APPRECIATED AS A RESOURCEFUL PERSON..... sasa being careless in this matter inafanya watu wakasirike LOL

Mi naona kama mwanaume mnamwonea tu kwani alimbaka? Kwani yeye mwanamke hajui cycle yake? Kwa hili hapana angekuwa binti wa shule sawa lakini mtu mzima kabisa na akiri zake anapata mimba unaanza kumlaumu mwanaume hii naikataa.
 

Now u know Fidel ila be careful.Usipopatikana na sheria, kuna VVU/UKIMWI!
 
ITS BECAUSE U R APPRECIATED AS A RESOURCEFUL PERSON..... sasa being careless in this matter inafanya watu wakasirike LOL

SO AM I SOMEBODY TO BE BLAMED?
mbona yeye hamumlaumu kwa kuwa careless?na ikumbukwe SIKUBAKA
 
SO AM I SOMEBODY TO BE BLAMED?
mbona yeye hamumlaumu kwa kuwa careless?na ikumbukwe SIKUBAKA

Mi naona Wabeijing wanakulaumu wewe kwa kumtokea yule binti alafu mapenzi yakaisha gafla na wewe ukaingia mitini. Lakini naona vitu mlikuwa mna enjoy wote kama lawama ni kwa wote sio mtu mmoja.
 
WOS is jst kidding!
SUE ME FOR WHAT??
 
Mtoto ni wa kwako.
Umeshamwambia mke wako mtarajiwa kuhusu huyu mtoto?
Kama bado mueleze ajue na akubali yaliyotokea.
Baada ya hapo mjaribu kutafuta solution pamoja na mke wako mtarajiwa.(Kama anakubali).
Hao yote yakifanyika , fujo na vurugu za huyo dada wa kichaga hazitakuwa na nguvu.
Jaribu kuwashirikisha social workers/watu wa dini/wanasheria ili muafaka upatikane hasa kuhusu masilahi/matunzo ya mtoto.
Yeye hana kosa lolote.
 
thank U!
heri,
nakushukuru sana,my fiance IS AWARE OF THE SITUATION!na amekubaliana na what happened!

wanasheria wanasema ni bora huyu mama kid akakubaliana na muafaka 'kindugu' kwasababu kwa mazingira yalivyo hana sababu ya kufanya fujo.

IKUMBUKWE:sikuwahi kuahidi ndoa,sikuwahi kukataa mtoto,SIKUWAHI KUMNG'ANG'ANIA MTOTO,nilikuwa nachangia gharama za matumizi,I HAVE NEVER MADE LOVE WITH HER,since she told me she was 'one month pg'.telling you the truth ni kwamba the kid is THREE YEARS OLD NOW,na ameshamkimbizia moshi
 
SO AM I SOMEBODY TO BE BLAMED?
mbona yeye hamumlaumu kwa kuwa careless?na ikumbukwe SIKUBAKA

sio kulaumiwa, nakubaliana na ww na wengine kuwa si busara kumuoa usiyempenda kubwa sheria zifuatwe kuhusu haki ya mtoto, mkataba mtakaofanya wewe na yeye ni rahisi kukiukwa kuliko kama utafuata sheria, wazazi washirikishwe, ustawi wa jamii nk, lakini kusema tu kuwa utamtunza mtoto hilo ni jambo zito na haliwezekani kiutendaji, unapoingia katika ndoa hautobaki G kama G ila utakuwa ni Mume wa ..., maaamuzi yatategemea na makubaliano yenu na hapo priority inakuwa ni kwa yale muyaonayo kwa wakati ule nyie wawili tu,

ni wanaume wangapi wanasahau hata wazazi pindi wanapooa, sembuse mtoto wa mwanamke usiyempenda!! You know akina mama is very tricky we know where to touch mmpoteze memory zote, lakini jambo likifanyika kisheria, sheria itaku-SUE kama hautotimiza!!

kukosa mmekosa wote, dhambi ni za wote, lakini mtoto hastahili hukumu yeyote!!

lawama nyingi zipo kwako kwa kuwa wanawake ni mara chache sana kutelekeza watoto wao lakini wanaume ni suala la kawaida, hata viongozi wetu wa juu kesi ngapi tunaona waziri kampa housegirl mimba, kinachofuatia house girl anarudishwa kwao, nani akalee yule mtoto!!
 
maneno mazito haya!
dah!ahsante bibi kizee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…