Mkuu naona umejibiwa jibiwa na watoto wa kike sasa ngoja tuje wanataaluma tukusaidie, kwanza moja acha ubwege haya maisha ya sasa hivi kulilia mtoto wa kike mmoja in the name of love sio dili, especially huyo ndio unategemea ajekua wife. majibu yote ya huyo dem umeyapata hapo ni dhahili huyo yupo 50% 50%, na kwa maisha ya sasa ya ndoa na hii miutandawazi unahitaji mwanamke ambae yuko 100% sure, hayo mapenzi ya shule achana nayo we mtu mzima angalia yupi mwanamke anaekufee, anaekupenda, tz bado idadi ya wanawake imezidi wanaume, sasa basi chukua uamuzi mgumu msahau huyo pretend kama aliishakufa and move on na maisha, hizo illusion weka pembezi, almost wote tulikua na madem shule na kwa sababu walikua wanatupenda sana na mapenzi ya kweli wanakusikiliza sasa unafikiri yale mapenzi ndio bado yatakuwepo hapo unajidanganya mkuu, i can feel you mkuu, yale yalikua mapenzi ya utotoni, baada ya kuzinguana na magumegume ya mtaani unafikiri sehemu ya kupata true love ni kule kwa zaman no boss nae ameishakua na amebadilka atakuzingua kama hao wengine wa kitaa so move on man[/QUOTE]
hizi tamthilia za kifilipino zinawaharibu vijana kazi kulia lia tu kwa madada kana kwamba ni mwanamke pekee dunia hii..