She is here now, I need her back

Bibie ana wasiwasi tu huyu.Mimi nampa braza marks zote kwasababu moja tu,kitendo cha yeye kukataa ujauzito usitolewe.That proves kuwa mkuu ni mtu mzuri moyoni achilia mbali kwamba alisaliti.

kweli mkuu na asante kwa ushauri wako mzuri.
ila nilisaliti pasipokukusudia.
huyu dada alikuwa kashakataa na kusema mimi na yeye basi..
impact ya ile rejection ndiyo ikasababisha haya yote.
 
Bibie ana wasiwasi tu huyu.Mimi nampa braza marks zote kwasababu moja tu,kitendo cha yeye kukataa ujauzito usitolewe.That proves kuwa mkuu ni mtu mzuri moyoni achilia mbali kwamba alisaliti.

mkuu naona umeamua kumtolea uvivu moreen maana nondo unazotoa inakuwa ngumu kwake kukujibu tungepata kumi kama wewe uran angesha opoa tausi wake mapemaaaaaaa .....mkuu endelea hivyohivyo tena ikiwezekana mshauriane na uran kwa pm
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaa Moreen wetu huyu,haendi popote.Halafu imekuwa coincidence my x gf anaitwa Maureen,naye aliniacha sababu kama ya mkuu hapa,kuwa na mtoto na mwanamke mwingine but mpaka kesho she knows that hatopata mtu kama mimi japo nina mtoto,na huwa ananiambia hivyo though it's too late.So I totally understand how my brother here feels caz I have been there.
 
Last edited by a moderator:
Ok guyzz mshaurini uran but cio mmm cz siwez rud nyuma na uamuzi tayar nimeshautoa m cwez kuwa naye cio kwamba cmpend but cwez kumsababishia maumivu mwanamke mwenzangu ambaye na yy tayar anampenda uran pli mimi tayari nimeshampata ambaye ananipenda nami nampendaaaa
 
well said, naumga mkono hoja
 
mkuu naona umeamua kumtolea uvivu moreen maana nondo unazotoa inakuwa ngumu kwake kukujibu tungepata kumi kama wewe uran angesha opoa tausi wake mapemaaaaaaa .....mkuu endelea hivyohivyo tena ikiwezekana mshauriane na uran kwa pm

sure! jamaa anatoa deep factors..
moreen haasemi kama ananipenda au lah!
 
Last edited by a moderator:

hii sababu ya kuwa una mtu hujaianza leo hata
kidogo.
kuwa muwazi zaidi.
let finish this
 
hahahaahaha mkuu ndio maana unaongea kwa uchungu sana kumbe yalikukuta uran unaona umepata pacha hapa inabidi nianze kuwakimbia hawa wadada wanaoitwa moreen wasije wakanifanya kama nyie hahahaha piga uwa garagaza huyu moreen leo hachomoki uran nashauri xfactor awe kampeni meneja wako
 
Last edited by a moderator:
hii sababu ya kuwa una mtu hujaianza leo hata
kidogo.
Kuwa muwazi zaidi.
Let finish this
ninaye mtu na nna malengo nae we unadhani toka nipo chuo mpka sasa nina kikazi cha kujishikiza nicwe na mtu kwelii mmh haya amin unavyoamini bt ninaye mtu
 
Omg!!!! Very touching...
 
narudi kwako kwa sababu nakupenda sana..

Jamani ebu msamehe kaka wa watu kha! Mpka namuonea huruma yaliopita c ndwele mdada mpe second chance
Wengine tunatafuta bahati ya kupendwa na hatupati .
 
Aisee!!
 
nashuru muuza mkaa wangu hajui habar za jf wala nin yeye kutwa yupo maporini! siunaona hapo moreen baby anasema hiv uran anasema vile.!
 
M nshamsameehe ila siwezi kuwa wake tena naomba anijibu haya maswalihuyo mama mtoto wake atampeleka wapi wakati kwao tayari anajulikana na mimi nafasi yangu itakuwa wap

DADA YANGU moreen baby

Kwa maswali hayo hapo juu nimeproove jambo wewe bado unampenda uran tatizo lako hutaki kuwa wazi, ili uran akupe stategies zake za kufanya ili uishi naye maana huwezi jua inawezekana hat huyo aliyeza naye (huyo dada labda wameshakubaliana na uran) kuwa si lazima waishi wote ila lililokuuu kwao ni kumlea mtoto, sasa kama unataka mawazo ya uran kwanza be clear kuwa unampenda na unataka kuishi naye ila kikwazo ni huyo aliye zaa naye. itakuwaje si ndiyo moreen?? Pepa rahisi kabisa hiyo kwa uran yeye ndiyo kocha sasa atshindwa vipi kupanga timu yake?

Ukishakuwa clear kuwa unampenda uran na uko tayari kuwa naye ndio umuulize hayo maswali yako (mtaishije, mtoto itakuwaje? huyo aliyezaa naye? nafasi yako itakuwaje? watawasiliana mara ngapi kwa wiki? mtoto akumwa itakuwaje? kipi unataka na kipi hautaki etc.. Mimi naamini ukikosa unayoyatarajia kwa huyo uliyenaye utaomba hata kuolewa mke wa tatu na kibabu cha miaka 60 sure i tell u)

Sasa na uran ni Mtu muelevu atakujibu kwa ufasaha hayo maswali baada ya kuwa na uhakika kuwa unampenda.,. Moreen angalia usitupe jongoo na mti wake.... sasa huenda unaogopa kukiri hapa jukwaani kuwa unampenda kweli uran (mbali ya kwamba mimi hilo naliona wazi), sasa MP uran muongee kwa simu then mrudi k
utujuza tu kuwa ndoa yenu ni lini wewe na uran na mimi ntakuwa mwenyekiti wa kamati hiyo. Hakuna kesi tena hapa..over
 
Tatizo binadamu kuamini kitu mpaka upate pinch kwenye moyo mbona dada wa watu kesha ongea yote yameisha. Haujaelewa tuu?
 
HAHAHAHA NEVER HAPEN BRO SIWEZI KUWA NA URANI NATAKA TU NIJUE BASI ILA KURUDIANA NAE HILO HALIPOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!:closed_2:
 
Jamani ebu msamehe kaka wa watu kha! Mpka namuonea huruma yaliopita c ndwele mdada mpe second chance
Wengine tunatafuta bahati ya kupendwa na hatupati .

umeona sababu zake hapo juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…