She is here now, I need her back

uran as much as hupendi kusikia hili...MOVE ON! majuto mjukuu!

Sisi ni mashahidi, tutaishuhudia ile kweli kwamba u tried ur best but she was not ur best .....kuna mwingine mdogo wangu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu uran mnimerudi tena kwa sababu yako naona unapoteza target mkuu.

Nakusihi fanya maamuzi kama mwanaume, muda wa kulia lia na mtu wa namna hiyo wa kukurusha roho umekwisha.

Mwanaume akiamua ameamua. Sifa kuu ya mwanaume ni msimamo.

Amua kusonga mbele au uendelee kumlilia kama ni yeye tu ndiye yupo duniani (sensa ya mwaka jana wanaume ni 49% na 51% wanawake), na kwa hali hii na maneno yake ya kimipashopasho hivi niliyoyaona hata kama akifail huku aliko akarudi kwako na ukaishi naye huyu si type yako hata kidogo, atakusumbua tu, amini usiamini atakurusha roho tu tena hata huko maishani.

Sasa kama unataka kulialia the rest of your life kuwa dhaifu kama baba mwanaasha.

Tembea kijana wewe unaelimu, unakazi bilashaka, na mungu amekupa ulijari sasa unahofu gani??

Tafuta mwanamke wa maisha yako tafuta pesa ya somesha mwanao shule kali huyo ndiyo mkombozi wako tena huyo mtoto atakupenda sana na ndiyo nguzo yako daima.. Tafuta pesa zaidi hawa viumbe wako wengi tu..maana watakuja tu.

Fanya maamuzi magumu, yaliyopita yamepita tafuta mapya. Kwenye masuala ya kiroho tunaambiwa shetani akikutoka na ukafanya masihala ya kutokuwa imara katika imani (maombi) akifanikiwa kukurudia basi huja na nguvu mara 10 ya kwanza na atakumaliza kabisa.
 
Kuna mtu amemuona Karucee mahali?

Atakaemuona amwambie nampenda sanaaaaa!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

i'm not sure if she dont love me.
..
naamini pia naweza ku move on.
 
Last edited by a moderator:
uran as much as hupendi kusikia hili...MOVE ON! majuto mjukuu!

Sisi ni mashahidi, tutaishuhudia ile kweli kwamba u tried ur best but she was not ur best .....kuna mwingine mdogo wangu.

there are so many fish in the pond tunaohitaji kuvuliwa ye mbona anangangana

na moreen wakati ye anahitaji kuvuliwa na mvuvi mwingine
 
uran, seriously kabisa unasubiri jibu la Yes au No ndio uweze kufanya maamuzi.

MOVE ON....UNAANZA KUBOA KUMNG'ANG'ANIA MWANAMKE


||"You were too young to understand"||
 
Last edited by a moderator:
i'm not sure if she dont love me.
..
naamini pia naweza ku move on.

Tatizo ni hapo,nataka sitaki.Atakuja kukusumbua sana mbeleni,believe me!Kwa jinsi ulivyothubutu,ukafunguka wazi kabisa,angekuwa muungwana na mwenye mapenzi ya dhati mgeishayamaliza!Sasa songa mbele,kwa kasi na nguvu zaidi,,anza maisha yako bila yeye!No calls,no sms,no pm,no emails,no letters,just you and your life!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…