Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hee hawa ma-ex wa kuja na kuondoka huwa hawabadiliki. ukimrudia mara kakuacha tena utafanyaje? nisingekushauri umrudie, mie nilimrudia ex kumbe nikapoteza bahati yangu ile ex ananibwaga tena kama gunia la pumba bahati ikawa ishaoa nilijutaaa!
Maumivu hayaepukiki, with time ataheal. Ila kumfanyia visa ni vibaya zaidi.
Nashindwa kukushauri sababu umesema she is back, hujasema nini kiliwafanya kubreakup, then amekwambia kwanini of all she 'z back to u?What makes you in dillema? Ni nini hasa unataka kwenye maisha yako? Unadhani she is the person u need for the rest of your life? Au bado upo upo?
Ila kama moyo wako hauko kwa uliyenae kuliko x, go ahead tell her the truth kuliko kumpotezea muda, ataumia lakini time will heal her wounds.Kuliko uko kitandani na y image kichwani ya x, hii sio poa.
Exactly! He don't yet know what he wants! Majuto ni mjukuu!Upo sahihi kabisa "muonja haonji mara moja" huyu jamaa anahisi hampendi wa sasa kwasababu ya kuwa blinded na memories za zaman na huyo ex wake but he loves her... and ur ex is not worthy of U unless u dont knw.
Nahisi kama nilisoma kisa cha mwanzo, kuwa uliachwa na mtu wako aliyekiwa mbali... corrrect me if im wrong.... U moved on na ukapata mwingine sasa amerudi anataka tunda lake la zamani.
Mimi nina swali la msingi kwako,
1. Kama alikuwa na uwezl wa kukuacha solemba kisa mtu mwingine je kesho atashindwa kukuacha kwa kitu kipya?
2. Jiulize ingekuwa ni wewe "huyo uliyenae kwenye mahusiano" utajiskiaje ukifahamu yanayotokea na kwanini uingine in a new relationship with unfinished business??
3. Unajitambua kweli?? Maana kama wajitambua hayo ya "she needs me back and i dont know what to do" inanionyesha kwanza hujui ni nini unakihitaji maishani?
Ushauri:
Mke au mume sio kukurupuka kama unavyofanya utakuja kujuta maishani na kumuona huyo unaetaka kumuacha kwa wazamani anafaa mara mia saba.
Move on wewe sio wa kwanza kuombwa urudishe penzi angalia gharama yake mbele, kama ni mimi huyo waala haya nisinge jaribu kumfikiria kwa historia iliyopo. Close that chapter broda.
Kula matapishi yakupalie, yakunige udanje upotee kabisa
tamaa za fisi hizo
Put yourself in the shoes of your current girlfriend and you'll tell us what it feels like.
Unageuzwa jalala na wewe unakubali? Usituahibishe wanaume wenzako alaa kuwa na adabu imagine mtoto wako wa kike ndo anafanyiwa hivyo
Haya na yule mliyecheza naye mchezo wa kibaba na mama pia utamfungulia uzi hapa.
Kakazwa huko kaachwa anataka ule makombo...mrudue uone balaa lake.