She need it back, am confused

She need it back, am confused

hee hawa ma-ex wa kuja na kuondoka huwa hawabadiliki. ukimrudia mara kakuacha tena utafanyaje? nisingekushauri umrudie, mie nilimrudia ex kumbe nikapoteza bahati yangu ile ex ananibwaga tena kama gunia la pumba bahati ikawa ishaoa nilijutaaa!

Mhh...tht was bad luck..polee...i appreciate sharing ure experience wth us..
 
Maumivu hayaepukiki, with time ataheal. Ila kumfanyia visa ni vibaya zaidi.

Sure...ila ntajiona mkosaji sana kwake coz shez so nice kwangu na ananpenda....
Shida ndo ivo i love my x more..
 
Nashindwa kukushauri sababu umesema she is back, hujasema nini kiliwafanya kubreakup, then amekwambia kwanini of all she 'z back to u?What makes you in dillema? Ni nini hasa unataka kwenye maisha yako? Unadhani she is the person u need for the rest of your life? Au bado upo upo?
Ila kama moyo wako hauko kwa uliyenae kuliko x, go ahead tell her the truth kuliko kumpotezea muda, ataumia lakini time will heal her wounds.Kuliko uko kitandani na y image kichwani ya x, hii sio poa.
 
Kuachwa kuachwa.........huruma kwake anae achwa pole yake.
 
Put yourself in the shoes of your current girlfriend and you'll tell us what it feels like.
 
Nahisi kama nilisoma kisa cha mwanzo, kuwa uliachwa na mtu wako aliyekiwa mbali... corrrect me if im wrong.... U moved on na ukapata mwingine sasa amerudi anataka tunda lake la zamani.

Mimi nina swali la msingi kwako,
1. Kama alikuwa na uwezl wa kukuacha solemba kisa mtu mwingine je kesho atashindwa kukuacha kwa kitu kipya?
2. Jiulize ingekuwa ni wewe "huyo uliyenae kwenye mahusiano" utajiskiaje ukifahamu yanayotokea na kwanini uingine in a new relationship with unfinished business??
3. Unajitambua kweli?? Maana kama wajitambua hayo ya "she needs me back and i dont know what to do" inanionyesha kwanza hujui ni nini unakihitaji maishani?

Ushauri:
Mke au mume sio kukurupuka kama unavyofanya utakuja kujuta maishani na kumuona huyo unaetaka kumuacha kwa wazamani anafaa mara mia saba.

Move on wewe sio wa kwanza kuombwa urudishe penzi angalia gharama yake mbele, kama ni mimi huyo waala haya nisinge jaribu kumfikiria kwa historia iliyopo. Close that chapter broda.
 
Kula matapishi yakupalie, yakunige udanje upotee kabisa
tamaa za fisi hizo
 
Nashindwa kukushauri sababu umesema she is back, hujasema nini kiliwafanya kubreakup, then amekwambia kwanini of all she 'z back to u?What makes you in dillema? Ni nini hasa unataka kwenye maisha yako? Unadhani she is the person u need for the rest of your life? Au bado upo upo?
Ila kama moyo wako hauko kwa uliyenae kuliko x, go ahead tell her the truth kuliko kumpotezea muda, ataumia lakini time will heal her wounds.Kuliko uko kitandani na y image kichwani ya x, hii sio poa.

Upo sahihi kabisa "muonja haonji mara moja" huyu jamaa anahisi hampendi wa sasa kwasababu ya kuwa blinded na memories za zaman na huyo ex wake but he loves her... and ur ex is not worthy of U unless u dont knw.
 
Unageuzwa jalala na wewe unakubali? Usituahibishe wanaume wenzako alaa kuwa na adabu imagine mtoto wako wa kike ndo anafanyiwa hivyo
 
Exactly! He don't yet know what he wants! Majuto ni mjukuu!
 
Haya na yule mliyecheza naye mchezo wa kibaba na mama pia utamfungulia uzi hapa.
 
Kakazwa huko kaachwa anataka ule makombo...mrudue uone balaa lake.
 
Nahisi kama nilisoma kisa cha mwanzo, kuwa uliachwa na mtu wako aliyekiwa mbali... corrrect me if im wrong.... U moved on na ukapata mwingine sasa amerudi anataka tunda lake la zamani.

Mimi nina swali la msingi kwako,
1. Kama alikuwa na uwezl wa kukuacha solemba kisa mtu mwingine je kesho atashindwa kukuacha kwa kitu kipya?
2. Jiulize ingekuwa ni wewe "huyo uliyenae kwenye mahusiano" utajiskiaje ukifahamu yanayotokea na kwanini uingine in a new relationship with unfinished business??
3. Unajitambua kweli?? Maana kama wajitambua hayo ya "she needs me back and i dont know what to do" inanionyesha kwanza hujui ni nini unakihitaji maishani?

Ushauri:
Mke au mume sio kukurupuka kama unavyofanya utakuja kujuta maishani na kumuona huyo unaetaka kumuacha kwa wazamani anafaa mara mia saba.

Move on wewe sio wa kwanza kuombwa urudishe penzi angalia gharama yake mbele, kama ni mimi huyo waala haya nisinge jaribu kumfikiria kwa historia iliyopo. Close that chapter broda.

Asabte mku kwa content ya maana....ispokua kuna sehem umechanganya....msichana ambae nahitaj kurudiana nae sie yule x nkieachana nae siku za nyuma apo...ni msichana ambae nilikua nae nikiwa chuo....

Mm ndio niliemuacha tukiwa tunamalizia mwaka wa tatu...kwa sabab alikua na mtu ambae ilisemekana tayar alishatolewa mahari...juz karud kutoka kwa madiba na jana she askd for the renewal.....kiukweli huyu msichana ndie nnaempenda na nilikua tayar kumuoa ata km tutaanzia kulala chin...tatzo likawa jamaa ake....so kama wameachana na ananihitaj and she is free i dnt see myself resisting....
 
Put yourself in the shoes of your current girlfriend and you'll tell us what it feels like.

So painfully!!!....bt i thnk ts better telin her mapema...unless u gat better plan to advice..
 
Unageuzwa jalala na wewe unakubali? Usituahibishe wanaume wenzako alaa kuwa na adabu imagine mtoto wako wa kike ndo anafanyiwa hivyo

U dnt understand ths stuffs!...uyo mtg wangu wa kike yupo wap!!!....ume over-emergin banaaa..
 
Back
Top Bottom