Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
- Thread starter
-
- #81
Mkuu hata Mimi nimegundua watu sio waaminifu kbsa ikija Kwenye masuala ya pesa, especially wanawake.Mwaka uliopita watu wamekula laki 3 yangu za madeni,kuanzia sasa mpaka kufa kwangu pesa yangu wataisikia kwenye bomba sahv niko makin mno nimegundua watu ni washenz sana
Hapo nenda police wape hata 30,000 tu au 50,000 ili wakufanyie kazi yako vizuri wamkamate wamweke ndani atakulipa tu hiyo pesa yako. Yaani anakuzungusha tsh 12,000 tu je angekopa 20,000 si angeahidi kukupa vitu vingi sana? Akupe hiyo pesa. Wape polisi hiyo bakshishi hachukui hata siku mbili.
Vipi lakini, Ana Shape Kali?
Mkuu unamaanisha nimsamehe elfu 12 ambazo Ni sawasawa na Tsh240k?Msamehe Kwa moyo mkunjufu.
Kuna Leo na kesho.
Kuna watoto na mke.
Wake zetu wana mengi tusiyoyajua hasa madeni na hatujui kama wanalipa au wanasamehewa .
Hatujui kama wanatoa ficho zao au wanapambana.
Samehe mkuu na ikishindikana kabisa basi tutafanya fund raising hapa ili kumsitiri
Ndio mkuu.Mkuu unamaanisha nimsamehe elfu 12 ambazo Ni sawasawa na Tsh240k?
Ndio mkuu.
Mungu yu mwema na anajua jinsi ulihangaika kuzipa. Hakika atakurudishia Kwa namna tofauti.
Angalia,
Fanya kama huyo dada ni dada yako au mkeo yupo ktk wakati mgumu hivo .
Wanawake ni wake zetu
Mama zetu
Dada zetu
Na wanetu.
So long as hajakukata mikono basi samehe tu
Nimekuelewa mkuu, ushauri wako nitaufanyia kaziMwanamke wa ivyo ni wa kwenda naye kwa akili. Message ndio ushahidi wako. Nenda nao kwa mmewe umuelezee au mtishie mwanamke utafanya ivyo asipolipa fedha yako. Ukifika kwa mmewe ukaona naye hatilii maanani bas ujue iyo n gang na anaweza kukuwah kwa mmewe akasema umemtaka akakataa
Usiende lodge. Anaweza kufanya lolote na ww ukaonekana una case ya kujibu eg ulitaka kumbaka kisa unamdai. Au likawa fumanizi la kuungwa ukaumbuka.
Nimekusikia Sana mkuuPengine ni mtego
Uende lodge then mumewe aje akukamate ugoni
Alafu utozwe Hela mara Tano ya Ksh12000
We komaa na kudai Hela yako ila Kwa mke mtu mi sikushauri ukapige ni mtegoooo huoo
Ahsante kwa ushauri wako mkuuKwanza kabisa tulishaliongolea katika vikao vya wanaume ya kwamba mwanamke hakopeshwi.
Pili kama ulimkopesha bila kuwa na written contract fahamu ya kuwa imeshakula kwako; cha kukuokoa ni hiyo text aliyokutumia ya kuku-offer mzigo.
Kwa hiyo itumie hiyo text yake kumblackmail akulipe pesa yako la sivyo utamuanika kwa jamii kama si kwa mme wake.
Mwisho utachagua kati ya kula mzigo au kusamehe hiyo fedha.View attachment 2654875
Jamaa akitumia hiyo mbinu ya tatu mwanamke utakuta ndo atapanga fumanizi na mkewe, wanaingia lodge penzi asipewe alafu afumaniwe apigwe pesa zaidi, mjini hapaMbinu ni tatu tu na atakulipa pesa yako fasta
Hiyo sms ambayo ame kutumia kuwa yupo tayari kukupa penzi ambalo hata mme wake hajawahi kumpatia nenda nayo mpaka Kwa mme wake Na umuonyeshe, hiyo mbinu ya kwanza
Ya pili- mwambie kuwa kama hajakupa pesa yako kwenye wiki hii mtishie kuwa utaenda kumuonyesha mme wake hiyo sms
Ya tatu- lipia lodge kama alivyokwambia na mrekodi yaani mchukue video mkiwa mpo faragha kisha baada ya tendo muonyeshe hizo video mwambie asipokulipa pesa yako kuwa utatafuta namba ya mume wake na utamtumia hizo video
Chagua njia moja hapo Na ujipatie pesa yako fasta
bora umeeleza ni kshs, nimekaa hapa najiuliza, huyu jamaa analilia 12k tshs?12k ya Kenya ni less than 240k Tanzanian Shillings.
Kuwa mwanaume, chagua kukataa hiyo ngono ama chagua kumsamehe.
Basi msamehe tuNi mzuri tu mkuu nyuma kajazia vizuri
Jamaa akitumia hiyo mbinu ya tatu mwanamke utakuta ndo atapanga fumanizi na mkewe, wanaingia lodge penzi asipewe alafu afumaniwe apigwe pesa zaidi, mjini hapa