She wants to pay me "in kind"

She wants to pay me "in kind"

Mwaka uliopita watu wamekula laki 3 yangu za madeni,kuanzia sasa mpaka kufa kwangu pesa yangu wataisikia kwenye bomba sahv niko makin mno nimegundua watu ni washenz sana
Mkuu hata Mimi nimegundua watu sio waaminifu kbsa ikija Kwenye masuala ya pesa, especially wanawake.
 
Mkuu sio Tsh,hii Ni pesa ya kwetu Kenya na Ni hell nyingi Sana nadhani inaweza kuwa Tsh 240k
Hapo nenda police wape hata 30,000 tu au 50,000 ili wakufanyie kazi yako vizuri wamkamate wamweke ndani atakulipa tu hiyo pesa yako. Yaani anakuzungusha tsh 12,000 tu je angekopa 20,000 si angeahidi kukupa vitu vingi sana? Akupe hiyo pesa. Wape polisi hiyo bakshishi hachukui hata siku mbili.
 
Msamehe Kwa moyo mkunjufu.

Kuna Leo na kesho.
Kuna watoto na mke.

Wake zetu wana mengi tusiyoyajua hasa madeni na hatujui kama wanalipa au wanasamehewa .

Hatujui kama wanatoa ficho zao au wanapambana.

Samehe mkuu na ikishindikana kabisa basi tutafanya fund raising hapa ili kumsitiri
 
Mkuu unamaanisha nimsamehe elfu 12 ambazo Ni sawasawa na Tsh240k?
 
Jambo la busara na hekima ni kama utaamua kumsamehe hiyo hela na mwisho wa siki atajiinea aibu mwenyewe na wala usitaka akulipe kw penzi wewe kaa kimya fanya mambo yako assume ukitoa Sadaka tuu kwa Yatima au mjane maadamu hajakukata mikono yako
 
Mkuu unamaanisha nimsamehe elfu 12 ambazo Ni sawasawa na Tsh240k?
Ndio mkuu.
Mungu yu mwema na anajua jinsi ulihangaika kuzipa. Hakika atakurudishia Kwa namna tofauti.

Angalia,
Fanya kama huyo dada ni dada yako au mkeo yupo ktk wakati mgumu hivo .

Wanawake ni wake zetu
Mama zetu
Dada zetu
Na wanetu.

So long as hajakukata mikono basi samehe tu
 
Kwanza kabisa tulishaliongolea katika vikao vya wanaume ya kwamba mwanamke hakopeshwi.

Pili kama ulimkopesha bila kuwa na written contract fahamu ya kuwa imeshakula kwako; cha kukuokoa ni hiyo text aliyokutumia ya kuku-offer mzigo.

Kwa hiyo itumie hiyo text yake kumblackmail akulipe pesa yako la sivyo utamuanika kwa jamii kama si kwa mme wake.

Mwisho utachagua kati ya kula mzigo au kusamehe hiyo fedha.
20230608_002836.jpg
 
Mwanamke wa ivyo ni wa kwenda naye kwa akili. Message ndio ushahidi wako. Nenda nao kwa mmewe umuelezee au mtishie mwanamke utafanya ivyo asipolipa fedha yako. Ukifika kwa mmewe ukaona naye hatilii maanani bas ujue iyo n gang na anaweza kukuwah kwa mmewe akasema umemtaka akakataa

Usiende lodge. Anaweza kufanya lolote na ww ukaonekana una case ya kujibu eg ulitaka kumbaka kisa unamdai. Au likawa fumanizi la kuungwa ukaumbuka.
 
Pengine ni mtego
Uende lodge then mumewe aje akukamate ugoni
Alafu utozwe Hela mara Tano ya Ksh12000
We komaa na kudai Hela yako ila Kwa mke mtu mi sikushauri ukapige ni mtegoooo huoo
 
Safi Sana mkuu
Ndio mkuu.
Mungu yu mwema na anajua jinsi ulihangaika kuzipa. Hakika atakurudishia Kwa namna tofauti.

Angalia,
Fanya kama huyo dada ni dada yako au mkeo yupo ktk wakati mgumu hivo .

Wanawake ni wake zetu
Mama zetu
Dada zetu
Na wanetu.

So long as hajakukata mikono basi samehe tu
 
Mwanamke wa ivyo ni wa kwenda naye kwa akili. Message ndio ushahidi wako. Nenda nao kwa mmewe umuelezee au mtishie mwanamke utafanya ivyo asipolipa fedha yako. Ukifika kwa mmewe ukaona naye hatilii maanani bas ujue iyo n gang na anaweza kukuwah kwa mmewe akasema umemtaka akakataa

Usiende lodge. Anaweza kufanya lolote na ww ukaonekana una case ya kujibu eg ulitaka kumbaka kisa unamdai. Au likawa fumanizi la kuungwa ukaumbuka.
Nimekuelewa mkuu, ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Pengine ni mtego
Uende lodge then mumewe aje akukamate ugoni
Alafu utozwe Hela mara Tano ya Ksh12000
We komaa na kudai Hela yako ila Kwa mke mtu mi sikushauri ukapige ni mtegoooo huoo
Nimekusikia Sana mkuu
 
Kwanza kabisa tulishaliongolea katika vikao vya wanaume ya kwamba mwanamke hakopeshwi.

Pili kama ulimkopesha bila kuwa na written contract fahamu ya kuwa imeshakula kwako; cha kukuokoa ni hiyo text aliyokutumia ya kuku-offer mzigo.

Kwa hiyo itumie hiyo text yake kumblackmail akulipe pesa yako la sivyo utamuanika kwa jamii kama si kwa mme wake.

Mwisho utachagua kati ya kula mzigo au kusamehe hiyo fedha.View attachment 2654875
Ahsante kwa ushauri wako mkuu
 
Mbinu ni tatu tu na atakulipa pesa yako fasta

Hiyo sms ambayo ame kutumia kuwa yupo tayari kukupa penzi ambalo hata mme wake hajawahi kumpatia nenda nayo mpaka Kwa mme wake Na umuonyeshe, hiyo mbinu ya kwanza

Ya pili- mwambie kuwa kama hajakupa pesa yako kwenye wiki hii mtishie kuwa utaenda kumuonyesha mme wake hiyo sms

Ya tatu- lipia lodge kama alivyokwambia na mrekodi yaani mchukue video mkiwa mpo faragha kisha baada ya tendo muonyeshe hizo video mwambie asipokulipa pesa yako kuwa utatafuta namba ya mume wake na utamtumia hizo video

Chagua njia moja hapo Na ujipatie pesa yako fasta
Jamaa akitumia hiyo mbinu ya tatu mwanamke utakuta ndo atapanga fumanizi na mkewe, wanaingia lodge penzi asipewe alafu afumaniwe apigwe pesa zaidi, mjini hapa
 
12k ya Kenya ni less than 240k Tanzanian Shillings.

Kuwa mwanaume, chagua kukataa hiyo ngono ama chagua kumsamehe.
bora umeeleza ni kshs, nimekaa hapa najiuliza, huyu jamaa analilia 12k tshs?

ushauri wangu ni wakubaliane iwe malipo ya mara kadhaa. 4k kila wakikutana ili akienda siku ya kwanza asiridhike, abaki anadai 8k na ameonja supu ya jirani 😂😂😂
 
Imagine huyo ni mke wa mtu "AISEE NITAOA KWELIII"HAHAHAHA

HAPANA " YANAMUDA BAC
 
Jamaa akitumia hiyo mbinu ya tatu mwanamke utakuta ndo atapanga fumanizi na mkewe, wanaingia lodge penzi asipewe alafu afumaniwe apigwe pesa zaidi, mjini hapa

Kama katokea shamba lazima afumaniwe ila kama mtoto wa mjini wanaweza wakakutegea mitego na wakakukosa na mrembo ukamla vizur tu
 
Back
Top Bottom