Shehe Mwinyi mdogo ameamua kuifanya Zenj emirate au sheikdoom?


Unaogopa nini kutumia ID yako ya zamani?
Unajua kama tutakuona kwa kiasi gani ulivyo mpumbavu na mjinga wa hali ya juu.
Pumbafffff.
Uwe unaficha ujinga wako.
 
Moja ya mambo unayojua kwa ufasaha ni kutukana
Miaka nenda rudi tunategemea utabadilika utaacha kutukana lakin wapi
 
Moja ya mambo unayojua kwa ufasaha ni kutukana
Miaka nenda rudi tunategemea utabadilika utaacha kutukana lakin wapi
Wewe rais wa vichaa kumbe ile ndio ID yako nyingine!

Hivi hapa JF kuna kichaa kama wewe anayeota kila siku eti aje kua rais?

Kila siku unatuletea hapa hesabu zako za kijinga jinga,ndio maana Red black hua anakwambia fanya kazi acha ujinga,

Halafu unaweza kuonyesha tusi hata moja kwenye hiyo comment yangu uliyoiquote?
 
Mimi sijui kutukana wewe endelea kutukana sababu ni bingwa wa kutukana mwisho wa siku matusi yako hayanipunguzii chochote
Keep it up
 
Nyerere alikemea sana vimelea vya udinidini. Hawa viongozi wa siku hizi wanaona shega tu kujinasibu na dini yao serikalini
 
Umeoza akili mpaka tundu la haja kubwa,kama unabisha lipige picha upost
 
Pia hakunaga tuzo ya ujinga wa kuota kua rais kila siku humu JF.
Kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania sio ujinga ni haki ambayo hata wewe unayo urais sio exclusive kwa watu kadhaa ni haki ya kila mtanzania

Kama unadhani kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania ni ujinga basi unasafari ndefu sana kifikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…