Shehe Ponda yuko ACT Wazalendo kwa mission Maalumu hasa kipindi hiki, na hio mission kaianza jana.

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Screenshot_20250608_082116.jpg

Shehe ponda pale Act Wazalendo kapelekwa kwa kazi maalumu ya ku convice watu wa imani washiriki uchaguzi, na hio kazi kaianza jana kupitia tamko la shura ya Maimam na ataendelea nayo kwa muda mrefu sana.

Na kuanzia Jana na kuendlea tegemea Shehe Ponda kuwa na ukosoaji soft soft kwa Watawala lengo na asije shitukiwa kwamba ana mission maalumu pale ACT hasa ya juvuta watu wa imani ili washiriki uchaguzi mkuu.

Lengo lake hasa ni limejikita kwenye Iman zaidi, watu wa imani wasije kumtupa ndugu yao katika imani.

Jiulize ni mifumo ipi hio anataka irekebishwe ilihali hapo hapo anaawambia Waislam washiriki uchaguzi?
 
Kwani kuna taasisi yoyote ya Kikiristo iliyowahi kuwataka waumini wake wasusie uchaguzi?.

Taasisi zote za dini zinataka uchaguzi uwepo lakini uwe wa Haki. Sasa ulitaka Ponda awaambie waislamu wasusie uchaguzi?

Hata Chadema inasema haisusii uchaguzi, ila No Reforms No Election
 
View attachment 3360243

Acha ujinga wewe, kwani lini ACT walisema watasusia uchaguzi?, Sheikh Ponda ni mwana chama wa Act acheni ujinga.
 
Kwani kuna taasisi yoyote ya Kikiristo iliyowahi kuwataka waumini wake wasusie uchaguzi?.

Taasisi zote za dini zinataka uchaguzi uwepo lakini uwe wa Haki. Sasa ulitaka Ponda awaambie waislamu wasusie uchaguzi?

Hata Chadema inasema haisusii uchaguzi, ila No Reforms No Election
Nahisi ujaelewa mtoa mada ni kwamba raisi anatumia njia za watu ambao wanampinga ila kutokana na tabia za kiisilamu ukifanya kosa unaanza kutumia uislamu kama kinga.
Fatilia historia ya idi amin alafu utaelewa tabia ya raisi.
 
View attachment 3360243
Shehe ponda pale Act Wazalendo kapelekwa kwa kazi maalumu ya ku convice watu wa imani washiriki uchaguzi, na hio kazi kaianza jana kupitia tamko la shura ya Maimam na ataendelea nayo kwa muda mrefu sana.

Na kuanzia Jana na kuendlea tegemea Shehe Ponda kuwa na ukosoaji soft soft kwa Watawala lengo na asije shitukiwa kwamba ana mission maalumu pale ACT hasa ya juvuta watu wa imani ili washiriki uchaguzi mkuu.

Lengo lake hasa ni limejikita kwenye Iman zaidi, watu wa imani wasije kumtupa ndugu yao katika imani.

Jiulize ni mifumo ipi hio anataka irekebishwe ilihali hapo hapo anaawambia Waislam washiriki uchaguzi?
Hapa naona ni vita hii islam vs Christian vita ambayo ikiwa wakristo wataamua kwennda kwa mwenendo wanao enda nao hawa waislam basi serikali itakwama vibaya sana ninacho shukuru wakristo huwa wanahekima sana sio hawa wavaa kobaz wanafiki nafiki sana na udini wao.
 
Tumeshalijua hilo.

Huwezi kuwa na Zitto Kabwe alafu ukawa upande wa Mabadiliko.

Huyu ni ingizo jipya kwenye Mapandikizi.

Uzuri Watanzania tushasema No Reform No Election
 
Wakati waislam wanaunga mkono CUF,mlikua na mkiristo mwenzenu mkapa, tulieni dawa iwaingie
 
Hii kazi ya utabiri umeianza lini!!?
 
Hapa naona ni vita hii islam vs Christian vita ambayo ikiwa wakristo wataamua kwennda kwa mwenendo wanao enda nao hawa waislam basi serikali itakwama vibaya sana ninacho shukuru wakristo huwa wanahekima sana sio hawa wavaa kobaz wanafiki nafiki sana na udini wao.

Wajinga nyinyi, tulieni hivyo hivyo. Hamuwezi kuwaburuza Waislam kwenye mambo yenu ya upumbavu. Yaani takataka zenu muwaburuze Waislam pia. Siiungi mkono hata hiyo demokrasia. Ila siungi mkono majaribio yoyote ya kutaka kuharibu amani ya nchi.

Amani ya Nchi ni Lazima ihifadhiwe. Na hakuna kuleta chokochoko, Waislam hatuwezi kupigania maslahi ya wachumia tumbo wachache wanaojificha nyuma ya harakati.

Ndugu zetu washamwaga damu zao nyingi kwa sababu ya hizi harakati. Damu zishamwagika Mwembechai mwaka 1998, Pemba mwaka 2001 na kadhalika.

Ila sasa Waislam tunazidi kujitambua, Alhamdulillah. Hatukubali kuburuzwa kuiharibu amani ya nchi na hatutakubali kuharibu amani ya nchi kwa sababu ya upumbavu wenu.
 
View attachment 3360243
Shehe ponda pale Act Wazalendo kapelekwa kwa kazi maalumu ya ku convice watu wa imani washiriki uchaguzi, na hio kazi kaianza jana kupitia tamko la shura ya Maimam na ataendelea nayo kwa muda mrefu sana.

Na kuanzia Jana na kuendlea tegemea Shehe Ponda kuwa na ukosoaji soft soft kwa Watawala lengo na asije shitukiwa kwamba ana mission maalumu pale ACT hasa ya juvuta watu wa imani ili washiriki uchaguzi mkuu.

Lengo lake hasa ni limejikita kwenye Iman zaidi, watu wa imani wasije kumtupa ndugu yao katika imani.

Jiulize ni mifumo ipi hio anataka irekebishwe ilihali hapo hapo anaawambia Waislam washiriki uchaguzi?
Amehaidiwa wale rafiki zake walilopewa kesi ya ugaidi kuachiwa, na mpunga mrefu.

Shekhe Ponda is no more mpigania haki
 
Tumeshalijua hilo.

Huwezi kuwa na Zitto Kabwe alafu ukawa upande wa Mabadiliko.

Huyu ni ingizo jipya kwenye Mapandikizi.

Uzuri Watanzania tushasema No Reform No Election

watanzania gani? Jisemee wewe tu
 
Back
Top Bottom