Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
 
Halafu siku hizi kobaz na wenyewe wameamka, kunasiku nilipita njia ya buza hadi temeke. Kila kituo utaona wameweka spika "Changia msikiti Allah atakulipaaa". Kuna jamaa akasema hii ndo biashara yao
 
Halafu siku hizi kobaz na wenyewe wameamka, kunasiku nilipita njia ya buza hadi temeke. Kila kituo utaona wameweka spika "Changia msikiti Allah atakulipaaa". Kuna jamaa akasema hii ndo biashara yao
Sisi hela zetu tunapeleka kwa wenye uhitaji na shida mbalimbali yeye atafute kazi ya kufanya apate pesa sadaka zetu zinatoka kwa sababu malumu
 
Back
Top Bottom