Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
View attachment 3124419

Wote dugu moja:

IMG_20241014_081145.jpg

Ukistastaajabu ya mafuta na maji ya upako hapa bongo. Pasta Ng'ang'a atupa sadaka za waumini kisa ndogo
 
Tapeli tu kama matapeli wengine hakuna cha dua wala nini.
 
Waumini acheni kutoa sadaka za na jero jero 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wana njaa sana hawa watu. Muwe mna wapa chochote kitu sio kupeana kobazi tu
 
Naona Masheikh wamechoka kupanda boda - boda kika siku, Wanataka sadaka za kutosha ili wanunue V8 sasa. [emoji855][emoji855][emoji855]
Lakini nnavyojua mimi dua siku zote tunalipia, hakujawahi kuwa na dua ya bure...hizo v8 ni akili zao tu wangeamua kununua wangekuwa nazo.
 
Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
View attachment 3124419
Huyu sheikh yupo sahihi Hakuna Ibada utaifanya usitoe SADAKA na Unavyotoa SADAKA nzuri ya Kuugusa moyo wa MUNGU ndivyo unabarikiwa zaidi so
Unaetoa Buku na anayetoa Laki majibu ya maombi yenu hayawezi kuwa sawa
Iwe kwa MUNGU wa Kweli au kwa miungu
 
Huwa wqna tu baiskeli huyo wa boda ni tajiri.

Pia ni waganga ukitaka kujua angalia kama wana mapete pete

Hao ni ndugu zetu wapo huku gamboshi nao huja kuongeza ujuzi wa kitaalam
Naona akili ziinawaamka taratibu, kwa sasa dini zimepitwa na wakati, ni wajinga tu ndo wamebakia hiyo hatua ya kufia kwenye dini.
 
Lakini nnavyojua mimi dua siku zote tunalipia, hakujawahi kuwa na dua ya bure...hizo v8 ni akili zao tu wangeamua kununua wangekuwa nazo.
Angalia post ya mtoa mada inavyosema,.

Maombi gani hayo ya kutaka waumiini waliipie kuazia kiasi fulani cha fedha ???
 
Back
Top Bottom