OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Huwa wqna tu baiskeli huyo wa boda ni tajiri.Naona Masheikh wamechoka kupanda boda - boda kika siku, Wanataka sadaka za kutosha ili wanunue V8 sasa. π€π€π€
Unataka kusema huyu Sheikh ana will-power?Ukiwa na power ile ya kubadilisha mambo na kumfanikisha MTU
Mara nyingi unakuwa hauitaji PESA Ila PESA zitakufata Kutokana na ubora wa kazi yako.
Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
View attachment 3124419
Huyo Sheikh atakuwa ni THE BIG SHOW bila shaka. Sheikh adriz hanaga hizo mambo.Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
View attachment 3124419
Lakini nnavyojua mimi dua siku zote tunalipia, hakujawahi kuwa na dua ya bure...hizo v8 ni akili zao tu wangeamua kununua wangekuwa nazo.Naona Masheikh wamechoka kupanda boda - boda kika siku, Wanataka sadaka za kutosha ili wanunue V8 sasa. [emoji855][emoji855][emoji855]
Huyu sheikh yupo sahihi Hakuna Ibada utaifanya usitoe SADAKA na Unavyotoa SADAKA nzuri ya Kuugusa moyo wa MUNGU ndivyo unabarikiwa zaidi soHuyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
View attachment 3124419
π€£ π€£ π€£Dua za kupima kama mchele zimeanza.
Naona akili ziinawaamka taratibu, kwa sasa dini zimepitwa na wakati, ni wajinga tu ndo wamebakia hiyo hatua ya kufia kwenye dini.Huwa wqna tu baiskeli huyo wa boda ni tajiri.
Pia ni waganga ukitaka kujua angalia kama wana mapete pete
Hao ni ndugu zetu wapo huku gamboshi nao huja kuongeza ujuzi wa kitaalam
Angalia post ya mtoa mada inavyosema,.Lakini nnavyojua mimi dua siku zote tunalipia, hakujawahi kuwa na dua ya bure...hizo v8 ni akili zao tu wangeamua kununua wangekuwa nazo.