PreGE2025 Sheikh akiomba dua Mei mosi asema 'Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia'

PreGE2025 Sheikh akiomba dua Mei mosi asema 'Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
“Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida

 
Kuna sheria ya jamhuri au ya Mungu kavunja kwa kusema hivyo?
 
1744785747866.jpg
 
Ukimjangalia huyo shekhe unaona zimekamilika?
 
“Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida

View attachment 3321899
unataka kila mtu TZ awe mfuasi wa NO REFORMS NO ELECTION?, yaani watanzania wote tuwe na mtizamo mmoja kama nyumbu?
 
Kila mmoja lazima alinde shamba linalompa mavuno
 
Back
Top Bottom