Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Haa Kwa CCM Hajaingilia Siasa Ila Wale Wa Upande Ule Wanaosema Kaupiga Mchache Sana Wanaingilia SiasaHapo Shekhe hajaingilia siasa?!
Haa Kwa CCM Hajaingilia Siasa Ila Wale Wa Upande Ule Wanaosema Kaupiga Mchache Sana Wanaingilia SiasaHapo Shekhe hajaingilia siasa?!
Mama mwenyewe kamshangaa“Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
View attachment 3321899
Hao si kila siku mnawaambiaga maaskofu na mapadri wasijihusishe na mambo ya siasa wabaki madhabahuni?!Kina Mwamakula, Bagonza na Kitima wanavyopandaga kwenye majukwaa ya CHADEMA huwa wanachanganya nini?
Amepangiwa cha kusema“Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
View attachment 3321899
Amyiiinnn“Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
View attachment 3321899
Huwezi kusikia sheikh akisemwa vibaya sababu katoa ujiko Mboga Mboga.Duh,
Hapo Shekhe hajaingilia siasa?!
Mpaka Raisi mwenyewe kainamisha kichwa kwa aibu lakini Sheikh bado kasimamia ukucha
Shanga zile hahahaha, ni daruweshi hahahaha, wengi wao wana skelew (wenge) - si timamuMbona anarasta? Au sijamuona vizuri?
Yuko sahihi“Eeh Mola wetu umpe faraja Rais samia, na faraja anayohitaji ni mitano Mingine, Yarrab Nakuomba umpe mitano mingine Rais Samia” Sheikh - Mkoa wa Singida
View attachment 3321899
Sheikh huyo atakuwq muhuni tuMbona anarasta? Au sijamuona vizuri?