Sheikh Alhad Musa Salum: Rangi ya Kijani inayotumiwa na CCM ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu

Huyu hapa


Mungu hamfichi mnafiki .
 
Kiukweli Mimi nimekuelewa sana! Isingekuwa Kijani ya CCM, Nchi hii isingefika hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Naona shekhe anauza dini ili kushibisha tumbo. Tulivyofundishwa katika dini yetu ya Kiislamu ni kuwa kwa kila ukishemacho juu ya dini ni lazima unukuu kutoka katika Qur-an takatifu au kutoka katika Hadithi za mtume Muhammed (S.A.W) kama ni uthibitisho wa kweli, jee sheikh Musa ameweza kufanya hivyo?
 
Ndio, alinukuu aya husika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…