Sheikh Alhad Musa Salum: Rangi ya Kijani inayotumiwa na CCM ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu

Sheikh Alhad Musa Salum: Rangi ya Kijani inayotumiwa na CCM ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu

Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.

Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.

Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT

Source: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Hizo ni imani za kipagani, Mungu si mwanadamu hata mkaguzi
 
Hivi TAKUKURU ipo kwa ajili ya kuwashughulikia watu fulani tu? Mbona Tulia anamwaga pesa kama njugu huku Mbeya akijiandaa kugombea ubunge Mbeya mjini na hakuna anayemkemea?
NEC nao wapo kimya wakimwacha aendelee na kampeni zake kabla ya wakati. Vipi?
Mangula naye alisema ni marufuku watu kuanza kutafuta ubunge, wasubiri hadi muda muafaka, lakini Mbeya huku Tulia anaendelea na kusaka ubunge bila shida. Je, huyu ni mgombea pekee toka CCM kwa mwaka huu 2020?
Ni mpaka 'watumwe' na Jiwe. Kwa kujituma na kufuata taratibu za kazi yake, Profesa Assad alisemwa kuwa ETI alitaka kujifanya nae ni MHIMILI.
 
Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.

Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.

Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT

Source: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Dua nyingine sasa ndio zinaanza kulipa!.
P
 
Sasa huyu Sheikh ndiyo katolewa nje ya line
Wake zake hao watatu sijui wawili,atawaleaje sasa [emoji1]

Ova
 
Back
Top Bottom