Basi msilalamike anapogeuka kuwa mpiga debe wa CCM badala ya kuwahudumia watu kiroho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi msilalamike anapogeuka kuwa mpiga debe wa CCM badala ya kuwahudumia watu kiroho.
Hizo ni imani za kipagani, Mungu si mwanadamu hata mkaguziSheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.
Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Ni mpaka 'watumwe' na Jiwe. Kwa kujituma na kufuata taratibu za kazi yake, Profesa Assad alisemwa kuwa ETI alitaka kujifanya nae ni MHIMILI.Hivi TAKUKURU ipo kwa ajili ya kuwashughulikia watu fulani tu? Mbona Tulia anamwaga pesa kama njugu huku Mbeya akijiandaa kugombea ubunge Mbeya mjini na hakuna anayemkemea?
NEC nao wapo kimya wakimwacha aendelee na kampeni zake kabla ya wakati. Vipi?
Mangula naye alisema ni marufuku watu kuanza kutafuta ubunge, wasubiri hadi muda muafaka, lakini Mbeya huku Tulia anaendelea na kusaka ubunge bila shida. Je, huyu ni mgombea pekee toka CCM kwa mwaka huu 2020?
Dua nyingine sasa ndio zinaanza kulipa!.Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.
Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Laiti angekusikia!.Alhad aache kutumia dini kuitetea ccm,
Hahaha kwa kutimuliwa ukuu wa mkoa au?Dua nyingine sasa ndio zinaanza kulipa!.
P