Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na siku si nyingi huyu shekhe ataropoka hivyo..Huyu Sheikh Musa kwa kuropoka ajambo. Mim nina amini ndugu zangu Waislam watakuja kumbonda 1day
Huyu anaweza siku akajisahau akasema Quaran imemtaja raisi magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Haya bwana.Huyo Ni mkubwa kuliko hao walotoa hayo matamko.
Hao wengine Katiba haiwatambui!BAKWATA tuu, wale wengine hawamtambui kabisa yeye wala hiyo idara yake chini ya ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nasikia huyu mboga yake kubwa ni Kitimoto? Kwani siku hizi hiyo mboga inaruhusiwa? Mnawapa watu majina wasiyostahili kabisa.Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.
Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Mungu yupi?? Maana wako wengi sanaSheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.
Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Mungu ni mmoja tu!
Nina uhakika si yule aliyewambwa mtini !inategemea anamzungumzia Mungu gani hasa.
Ni subahana!
Viongozi wametajwa, na yeye ni kiongozi !Huyu Sheikh Musa kwa kuropoka ajambo. Mim nina amini ndugu zangu Waislam watakuja kumbonda 1day
Huyu anaweza siku akajisahau akasema Quaran imemtaja raisi magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi wa dini na wana siasa wanategemeana. Wote mtajinwao ni watu. Kiongozi wa kidini akitumia watu dhidi ya kiongozi wa kisiasa hawezi kuwa salama, hali kadhalika kiongozi wa kidini akiwapiga vita 'waumini' na viongozi wao hatakuwa salama. Nikune nikukune.Dah inasikitisha sana siku hizi kuona "VIONGOZI WA DINI (Masheikh na Mapadri) wakijisahau kumtumikia mungu na kujiingiza kwenye siasa. Viongozi wa dini wanajivalisha ngozi ya unafiki.
Wanajifanya kujinyamazisha na kujisahaulisha ukweli kuwa mungu amekataza na hapendi kwa kutilia mkazo "MAUWAJI/UTEKWAJI/UKANDAMIZWAJI/UONEVU" wa raia.
Vyeo vyote ni dhamana mbele ya mungu, na kila mwenye cheo atahojiwa siku ya kiama kuhusu utawala aliokua nao na aliowatawala (Wataulizwa kama walitenda "UADILIFU" mpaka kwa wanyama kama mbwa waliokua chini ya utawala wao).
DUNIA ni "PEPO" kwa wasiomuogopa mungu, na ni "GEREZA" kwa wanaomuogopa mungu.
But we dont have green saintsSheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.
Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Unachekesha! Hawaiwatambui wakati wamesajiliwa katika daftari la msajili?Hao wengine Katiba haiwatambui!
Stupid ni wewe usiyejua kitu, umekalia mapambio tu.Stupid .usirudie kulinganisha tena hilo jambo. Hawafanani hata kidogo.
Ni kweli....maana Mungu si mbaguzi, maana Rangi zote ni zake.inategemea anamzungumzia Mungu gani hasa.
Mecca ni nini !?Mbona Mecca haijapakwa rangi ya kijani!? Na hata wakifanya renovations hawapaki kijani!? Hatari Sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka awekwe Askofu Shoo anae abudia sanamu !?Hivi hawa ndugu zetu nao waliona huyu ndiye awe mkubwa wao kwenye dini/imani yao?