Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Mungu!atakuwa anamzungumzia Allah,ashone kanzu ya kijani sasa anasubiri nini
wewe ni msemaji wa Sheikh au mke wake?Mungu muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani yake,rejea bustani ya Eden
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Sheikh Musa kwa kuropoka ajambo. Mim nina amini ndugu zangu Waislam watakuja kumbonda 1day
Huyu anaweza siku akajisahau akasema Quaran imemtaja raisi magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamtafautiani na huyu mjinga, naona mnaleta ufarakano wa kidini, Allah anachukia ubaya,uovu na mambo ya kijina ya kuwachonganisha binadamu, moja kama hili la kwenu.okey FaizaFoxy tusaidie hapa andiko linaloonyesha Allah amebariki rangi ya kijani.
Mbwiga humjui allah?!
Alhad Musa ni sheikh wa mkoa wote wa Dsm........Hajakurupuka!Hamtafautiani na huyu mjinga, naona mnaleta ufarakano wa kidini, Allah anachukia ubaya,uovu na mambo ya kijina ya kuwachonganisha binadamu, moja kama hili la kwenu.
Huyo Alhad sio mwakilishi wa Allah wala mtu yoyote, mi mfanyi kazi wa Serekali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na Yanga pia!Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa jijini Dsm leo.
Mgeni wa heshima ni mama Samia Suluhu, makamu wa Rais wa JMT
Source: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Rangi ya kijani ni kitu cha hovyo bwashee?Halafu watu wakiichambua Dini ya kiislamu vibaya kunatokea malalamiko. Wanaoinajisi dini hiyo sio wale walevi wanaochana vitabu bali viongozi wanao sema maneno ya kuifananisha dini ya kiislamu na vitu vya hovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende taratibu, Sheikh wenu kasema Mungu ameibariki rangi ya kijani inayotumiwa na CCM,Hamtafautiani na huyu mjinga, naona mnaleta ufarakano wa kidini, Allah anachukia ubaya,uovu na mambo ya kijina ya kuwachonganisha binadamu, moja kama hili la kwenu.
Huyo Alhad sio mwakilishi wa Allah wala mtu yoyote, mi mfanyi kazi wa Serekali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata bendera ya taifa ina kijani!Kwa hiyo na Yanga pia!
Mungu muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani yake,rejea bustani ya Eden
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini haina maana hiyo ya sheikhHata bendera ya taifa ina kijani!
Wewe unabishana na sheikh wa mkoa?!Huyo Mungu siyo anayezungumziwa na sheikh maana hajawahi kusema rangi ya kijani imebarikiwa