Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Takhbiiiiiirrrrwa kwanza wewe uliyeandika huu uzi upatwe na hayo
Huyu naye atuondolee upuuzi wake hapa, alimsomea dua mbaya Mange Kimambi hadi leo Mange anatamba matokeo yake yeye ndiye alimwagwa kwenye nafasi aliyokuwepo. Halafu tuna ishu yake na Babake Mo Dewji akileta za kuleta tutaifufua.
😆😆😆😆Huyu naye atuondolee upuuzi wake hapa, alimsomea dua mbaya Mange Kimambi hadi leo Mange anatamba matokeo yake yeye ndiye alimwagwa kwenye nafasi aliyokuwepo. Halafu tuna ishu yake na Babake Mo Dewji akileta za kuleta tutaifufua.
Ni sawa wanaoshangilia kufa kwa magu ni kujibiwa maombi mkuu.
Yupo haiHivi Afande Sele alikufaga ?
Bhasi huyu na Yule wa Kumriliti Afande Sele mzani mmoja.Yupo hai
Kumsifia Saa100 ni kuleta laana kwenye jamiiHebu jionee Mwenyewe
===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu
View attachment 3342991
Halafu Toa Maoni yako
Hebu jionee Mwenyewe
===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu
View attachment 3342991
Halafu Toa Maoni yako
Hasije kuishia kukipata yeye
SureKumsifia Saa100 ni kuleta laana kwenye jamii
BAKWATA nzimaHicho Kiharusi Basi Kitawakumba Hadi Wapendwa wake mwenyewe