PreGE2025 Sheikh Alhad Mussa aomba watakaomtakia mabaya Rais Samia wapate kiharusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hadithi ya Mtume kumwombea adui yake mema:

Katika Sahih al-Bukhari na Musnad Ahmad, inasimuliwa kuwa:


“Hapana, huenda kutokana na kizazi chao watatoka watu watakaomwabudu Allah pekee bila kumshirikisha na chochote.”
(Sahih al-Bukhari, Hadithi no. 3231)

Hii hadithi inaonyesha namna Mtume (SAW) alivyosamehe hata wale waliomuumiza, na alitamani heri kwao badala ya mabaya.
 
Huyu mbona anahangaika sana,Si miezi kadhaa imepita aliyaagiza majini nchi nzima eti yaanze kumtafutia kura mama yaani unayaomba majini na unategemea matokeo?

Huyu mama ufalme wake ushagawanywa,hakuna dua hakuna majini yatasaidia,sasahivi anajaziliza kipimo cha uovu tu ili aondolewe
 
Wewe mbona hujaanza na maoni hako?
 
😆😆😆😆😆
 
Kwanza tunaomba mrejesho wa ile sala kuwa Selemani wa morogoro afe kabla ya ramadhani. Hawa watu wa dini wana mbwembwe sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hawa ndo maana wanadanganywa kuwa kule Mbinguni Mungu kawaandalia Mabikra wa kufanya nao ngono.

Wamemfanya Mungu kama mshikaji wao na muuza kahawa mwenzao
 
Mp
Na Rais samia aliyetowa amri ili watu watekwe nakuuwa yeye apate nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…