PreGE2025 Sheikh Alhad Mussa aomba watakaomtakia mabaya Rais Samia wapate kiharusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waislam akili huwa hamna vichwa vimejaa tende tu.
Wagalatia ndio vichwa vimejaa vinyesi

Huwezi ukawa na akili timamu ukawa attack waislamu kisa ALHAD

Huyo jamaa si anaenda hadi makanisani kuhamisisha dini mseto

Huyu sio nembo ya UISLAMU, ni mpiga madili tu na madudu yake ni hatari
 
Kishk alizingua tu kwa kuteleza/mahaba yaliyozidi mpaka akaharibu ila angalau anajitahidi

ila huyu ALHAD ni muhuni kabisa asiyefaa hata kuwa kiongozi wa familia yake
 
Acha kufananisha tende na vitu vya ajabu mkuu,
Bora vingekuwa vimejaa tende wangekuwa na energy ya kutosha bahati mbaya vimejaa kamasi .
Wewe utakuwa umejaa kinyesi baada ya kuzagamuliwa sana na misuli ya tundu kushindwa kuhimili kujifunga
 
Maashekh wanafanya Sana uzinzi nimeona Sana hii kitu wanaujanja mwingi Sana .
Shida kwa Tanzania icon ya UISLAMU inaonekana BAKWATA ila Kuna watu wapo smart sana hawapo kwenye hiyo mifumo

Ishu ya hao masheikh wa BAKWATA ni kawaida TU maana karibu wote ni waganga wa kienyeji halafu wanajifanya masheikh
 
Ustaadh ubwabwa huyu alimtamkia mange kimambi hatamaliza mwaka. Ustaadh anatifua mitaro hakuna sheikh hapo . Sheikh ni Ponda na Bachu basi wengine wote magumashi
 
Kishk alizingua tu kwa kuteleza/mahaba yaliyozidi mpaka akaharibu ila angalau anajitahidi

ila huyu ALHAD ni muhuni kabisa asiyefaa hata kuwa kiongozi wa familia yake
Hata kishki nae mjanja mjanja ila yule Alhad ni MUHINI kabisaa
 
Masheikh Ubwabwa wanawadhalilisha sana Waislam kote nchini!
 
Shida ya kusoma elimu dunia pekee......shehe abaishia kua chawa badala ya kukemea mauaji anaya fanya huyo anaemuombea mazuri
 
..Chawa ndio wasiomtakia mema Mama Samia.

..genge la wasiojulikana ndio wanaochafua heshima ya Mama, na taswira ya nchi yetu.
Huyo Chura Kiziwi wa Kizimkazi na chawa wake pamoja na wasiojulikana(polisi,usalama & UVCCM) wote wanafanya uuaji, utekaji na uporaji mali in coordination as a compact system.
 
Huyo shehe ameshampata na kumla yule demu mke wa dr mwaka?
 
Watu wanadai haki zao ye anawaombea mabaya ye ni kama nan, kuna vitu vy kumuomb mungu ila sio huu upuuz, alafu kwanin mtuzibe midomo wakat ubongo unapig kelele πŸ€”
 
Huyu kajisemea yeye sio dini, na sio waislamu wote wana akili fupi za hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…