Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

Ni kweli
 

Attachments

  • Screenshot_20201025-110326_Facebook.jpg
    101 KB · Views: 3
Halafu ana jeuri kishenzi alimkataa makonda wazi wazi mchana kweupeeee.
 
Huyu alhad Salum ndio mwenyekiti wa kamati ya Amani..... Nimeshangaa sana!
Fisiemu mmeingiza laana yenu ya siasa majitaka katika dini swafi ya kiislamu na kusababisha mgongano wa kimaslahi baina ya viongozi wa kidini.

Sasa mmekaa pembeni na kuanza kushuhudia mtanange huku mkijifanya kusikitika!
 
Wengine wakisumbuliwa na njaa wengine shibe inawalevya,hakuna usawa
 
Hii vita ya viongozi wa dini ni ya kimaslahi zaidi, inaonekana kimya kimya huwa wanavuta bahasha ili waje watuhubirie amani feki isiyokuwa na haki ndani yake, kuna mmoja yeye mahubiri yake ni kumsifia bwana nanihii eti kazuia korona, kajenga flyover, sijui na vitu gani halafu mwisho wa siku anatumia saa nzima kuhimiza sadaka hadi povu linamtoka, bila kujali hao waumini anaowatolea povu watoe sadaka wako hoi bin taabani kutokana na sera mbovu za uchumi za bwana ninihiiii..
 
Naskia askofu shehe ni mchelemchele
 
Sheikh mfitini.....!!!
Hana Adab......(huwa napenda sana lugha za kukunja namna hii)
sio adabu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…