Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Yuko kimaslahi zaidi.Nakumbuka alimkana Makonda baada ya kupoteza ukuu wa mkoa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko kimaslahi zaidi.Nakumbuka alimkana Makonda baada ya kupoteza ukuu wa mkoa!
Kwanini bwashee?Kuna mpasuko
Huyo Sheikh huwa ananichekesha sana, akiongea anaongea kiswahili chenye lafudhi ya kiarabu. Basi ccm wakisikia hiyo lafudhi, wanamuona ndio kasoma dini vibaya sana. Nilipomwona tu huyo Sheikh wanafuatana na Makonda, nilijia fika hamna Sheikh bali muhuni.
Fisiemu mmeingiza laana yenu ya siasa majitaka katika dini swafi ya kiislamu na kusababisha mgongano wa kimaslahi baina ya viongozi wa kidini.Huyu alhad Salum ndio mwenyekiti wa kamati ya Amani..... Nimeshangaa sana!
Alhad Musa ni kiongozi wa kuteuliwa au kchaguliwa?Yeye hana njaa yeye ana njaa tena Kali sana mpakaimetafuna ubongo wakeView attachment 1611072
Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.
Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.
Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.
CCM kumekucha kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Vyote!Alhad Musa ni kiongozi wa kuteuliwa au kchaguliwa?
Watakuwa wamedhulumiana sehemu au wameingiliana kwenye issue zao maana hao wote ni jembe na nyundo