Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

Kiongozi wa Dini nitofauti na mtumishi wa Mungu anayeishi kwa kusimamia imani yake bila kuyumba ili awe mfano kwa wengine na viongozi wa Dini wao kazi zao kujipendekeza kwenye mamlaka ili wapitishe memo za kuomba ajira kwa watoto wao.
 
Mashia sio waislamu, mashia ni makafir
Mimi bakwata naona bora wapewe wakatoliki kwa kweli. Ufanisi utakua wa hali ya juu.
Sio hao maustadh njaa.
Sasa bakwata inasaidia nini??! Mali za waislam wanazipora kukicha. Shule za bakwata mikia kila siku. Nikikumbuka shule ya bakwata Arusha mjini pale nacheka Sana. My brother alisoma pale. Shule hata haijielewi.

Kwa kweli mimi bakwata wakipewa wakatoliki napitisha mia kwa mia. At least kutakua na maendeleo. Sisi waislamu tukutane tu misikitini kuswali na kufanya mambo mengine.

Au wapewe CCM kabisa maana hilo ni branch lao. Useless dimwits
 
Daah! Akasema,
Nileteeni Rashid.
Niileeteeeeeni Raashiidi!!
Niileeeeeteeeeeeeni Raashiidi!!!
Niiileeeeeeeteeeeeeeniii Raashiiidiiii!!!!

Everyday is Saturday............................... 😎
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waache wararuane kwanza ukifuatilia maneno yao utachoka mkuu

Eti hao niviongozi wanaohamasisha amani ingawaje siwasikii wakitamkatamka msamiati haki
Viongozi wetu pamoja na mashabiki wao hawataki haki kwa sababu hawatendi haki. Nawauliza: "Amani itapatikanaje bila haki?"
 
Nakumbuka alimkana Makonda baada ya kupoteza ukuu wa mkoa!
 
Kimambi akiwa kwenye peek alijichanganya akaongea upuuzi kuhusu huyu shehe, kilichofuata shehe alisema baada ya muda mfupi kimambi atakaa kimya, na baada ya hapo kimambi kimyaaaa, alifyatishwa mkia na huyu mtu wa Mungu, sembuse huyu shehe feki..
 
Yah, umewaza vizuri sana. Kuna wendawazimu wengi wanaofanywa kuwa hivyo kwa manufaa ya matumbo yao na siyo kwa manufaa ya taasisi walizopewa kuongoza. Tuwahukumu wao na siyo taasisi nzima wanazoongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…