Sn2139
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 834
- 251
AMANI ya NCHI yetu ni muhimu. Kila mtu anakubaliana na hilo. Uchaguzi umekwisha salama. AMANI bado ipo. Shehe anatahadharisha tusije tukaiharibu amani yetu. Wote tuliopo Tanzania hili linaeleweka. Kila binadamu raia wa nchi hii analielewa hili. Lkn humu haifahamiki kama kweli wote ni binadamu, hivyo chukua msimamo wako na tusipelekwe na upepo wa kulaani kila tamko lenye tahadhari yenye manufaa kwa nchi yetu.