Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Maoni yake hayo...
View: https://www.instagram.com/reel/DaQPcQeCSvz/?igsh=d3JwdzR3bXY4dzcx
Halafu kuna kilaza mmoja anaendeshwa na mihemko hata hajielewi kavaa kobaz zimeisha mpaka zimetoboka anatembea na ndizi kusubiria kwenye ubwabwa, hitma au arobaini.
Ameshalishwa matango pori na Sheikh Matopetope ambaye anasubiria msaada wa tende toka .... Na nyama za waturuki zilizooza.
Maoni yake hayo...
Hakika lazima usomewe itikafu.
View: https://www.instagram.com/reel/DaQPcQeCSvz/?igsh=d3JwdzR3bXY4dzcx
Halafu kuna kilaza mmoja anaendeshwa na mihemko hata hajielewi kavaa kobaz zimeisha mpaka zimetoboka anatembea na ndizi kusubiria kwenye ubwabwa, hitma au arobaini.
Ameshalishwa matango pori na Sheikh Matopetope ambaye anasubiria msaada wa tende toka .... Na nyama za waturuki zilizooza.
Hii ni ukweli kabisaaaa
I am Muslim
Ukipiga hesabu za waislamu walouliwa na uongozi wa khamenei ni kubwa kuliko walouliwa na Israel ila masufi na mashia hawatokuelewa ata kidogo
Approximately khamenei ameuwa waislamu 2M
Nooo sina urafiki na mashiaLakini kwa sasa inabidi tumuunge mkono tu
Umeongea nini?
View: https://www.instagram.com/reel/DaQPcQeCSvz/?igsh=d3JwdzR3bXY4dzcx
Halafu kuna kilaza mmoja anaendeshwa na mihemko hata hajielewi kavaa kobaz zimeisha mpaka zimetoboka anatembea na ndizi kusubiria kwenye ubwabwa, hitma au arobaini.
Ameshalishwa matango pori na Sheikh Matopetope ambaye anasubiria msaada wa tende toka .... Na nyama za waturuki zilizooza.
Israel na marekani ni rafiki zako, inatoshaNooo sina urafiki na mashia
Mm ni msema ukweli popote paleIsrael na marekani ni rafiki zako, inatosha
2 million wa wapi? Weka facts na sources sio maneno matupu. Jf imejaa watoto siku hiziHii ni ukweli kabisaaaa
I am Muslim
Ukipiga hesabu za waislamu walouliwa na uongozi wa khamenei ni kubwa kuliko walouliwa na Israel ila masufi na mashia hawatokuelewa ata kidogo
Approximately khamenei ameuwa waislamu 2M
Alitangaza lini na wapi unaweza weka hapa video hiyo tafadhali.Khamenei ni wakala wa shetani. Yeye alitangaza kuwa wasunni siyo waislam, na kwamba kote waliko washia, wahakikishe wanawaondoa watawala wasunni. Kwa msaada na maelekezo ya Khamenei, Waziri Mkuu wa Labanon, Rafiq Hariri aliiawa; Rais wa Yemen, Abdullah Saleh aliuawa.
Ndani ya Iran yenyewe, ameua maelfu ya Wairan.
Kazi kubwa ya Khamenei ilikiwa kutengeneza makundi ya kigaidi.
Alianzisha kundi gani? Taja moja. Ongeeni kwa factsKazi kubwa ya Khamenei ilikiwa kutengeneza makundi ya kigaidi
Jikoni ndio wapi? Kwahiyo mtu akichukua video za sheikh mwaipopo au nabii tito ndio inaakisi uhalisia wa Tanzania?Mtu aliye jikoni maoni yake hayawezi fananishwa na mgaigai koko mmoja yupo mchambawima
DuuuhKhamenei ni wakala wa shetani. Yeye alitangaza kuwa wasunni siyo waislam, na kwamba kote waliko washia, wahakikishe wanawaondoa watawala wasunni. Kwa msaada na maelekezo ya Khamenei, Waziri Mkuu wa Labanon, Rafiq Hariri aliiawa; Rais wa Yemen, Abdullah Saleh aliuawa.
Ndani ya Iran yenyewe, ameua maelfu ya Wairan.
Kazi kubwa ya Khamenei ilikiwa kutengeneza makundi ya kigaidi.
Huna ulijualo bcz hufuatilii mambo ata kama mtoto lkn hunilishi wala hunivishi2 million wa wapi? Weka facts na sources sio maneno matupu. Jf imejaa watoto siku hizi
Mtu aliye jikoni maoni yake hayawezi fananishwa na mgaigai koko mmoja yupo mchambawimaJikoni ndio wapi? Kwahiyo mtu akichukua video za sheikh mwaipopo au nabii tito ndio inaakisi uhalisia wa Tanzania?
Leteni statistics, nyie mlidai kwenye maandamano walikufa watu 40,000 na Israel imeua wapalestina 80,000+ so mpaka hapo taarifa hii sio kweli.
Hapo sijaongelea sunni ambao Israel imeua Lebanon, westbank, Syria, Jordan, Egypt na Yemeni