Hapana sio kweli, in fact yeye ndii amewasaidia wasunni wa Lebanon, Syria, Iraq, Yemen na Palestina dhidi ya kupotezwa na US/Israel.
Na mifano hai ipo aliwapa silaha makundi ya Iraq yakiwemo ya kisuni kupambana dhidi ya ISIS ambayo ilikua supported na US/Israel.
Aliwasaidia wakurdi wa Syria ambao wengi ni wasunni waliokuwa wanamalizwa na mashambulizi ya ISIS. In fact bila hezbollah na IRGC kule Syria wakurdi wangechinjwa wote na Islamic state.
Pia amewasaidia palestine ambao ni sunni muslims na hili liko wazi. Kama sio Iran niambie hao wapalestina wangekua wapi leo? Si wangeshapotezwa tokea 1980s
Hata sasa anasaidia wasunni na wakristo wa Lebanon ambao wanauliwa kila siku na wazayuni.
Sasa na nyie leteni ushahidi ni wapi na lini Khamenei ameuwa wasunni million 2. Au mniambie nani mwingine kawatetea wasunni au wakristo na minorities wengine hapo mashariki ya kati zaidi ya iran?