Sheikh amchana Khemenei kuwa ameua Sunnis wengi kuliko Israel. Asema Khamenei ni Muuaji

Mashia itikadi yao ni tofauti kabisaaa na Sunni

Sunni wanaamini kua Muhammad ndie mtume wao ila
Mashia wanamkataa Muhammad na wanasema kua Alliy ndie aliepaswa kupewa utume kwaio wao hawamuamini Muhammad kama Mtume wao

Kwanini tunasema mashia sio Waislamu?
Nguzo ya kwanza ya Uislamu ni shahada nayo ni kumuamini Allah kua ndo anopaswa kuabudiwa peke yake na Muhammad ni mtume wake

Sasa Mashia wao wanamuamini Allah ila hawamuamini Muhammad kua ni mtume kwaio Shahada yao inakua haijatimia na kiitikadi wanakua si Waislamu ata kama wao wanajiita Waislamu

Ata kipindi cha mtume makuraishi walimuamini Allah lakini walimkataa Muhammad na ndicho kilichowafanya waitwe makafiri
Unawasingizia mashia uongo
 
Unawasingizia mashia uongo
Hhhhhhh hivi ushawahi kuwasoma mashia au unaropoka tuu ?

Kama upo dar au arusha nenda kwenye misikiti ya mashia hlf sikiliza adhana yao na jinsi wanavoswali
 
Mashia itikadi yao ni tofauti kabisaaa na Sunni

Sunni wanaamini kua Muhammad ndie mtume wao ila
Mashia wanamkataa Muhammad na wanasema kua Alliy ndie aliepaswa kupewa utume kwaio wao hawamuamini Muhammad kama Mtume wao

Kwanini tunasema mashia sio Waislamu?
Nguzo ya kwanza ya Uislamu ni shahada nayo ni kumuamini Allah kua ndo anopaswa kuabudiwa peke yake na Muhammad ni mtume wake

Sasa Mashia wao wanamuamini Allah ila hawamuamini Muhammad kua ni mtume kwaio Shahada yao inakua haijatimia na kiitikadi wanakua si Waislamu ata kama wao wanajiita Waislamu

Ata kipindi cha mtume makuraishi walimuamini Allah lakini walimkataa Muhammad na ndicho kilichowafanya waitwe makafiri
Mashia wanaamini kwamba Muhammad ni Mtume wa mwisho wa Mungu, kama wanavyoamini Waislamu wa Kisunni. Shahada ya msingi ya Kishia ni

"Hakuna mungu apasaye kuabudiwa isipokuwa Allah, na Muhammad ni Mtume wa Allah."

Makundi mengi ya Mashia huikubali shahada hiyo. Tofauti kubwa kati ya Mashia na Wasunni haiko katika kukataa utume wa Muhammad, bali katika suala la nani alipaswa kuongoza umma baada ya kifo chake.

Kwa mfano:
Wasunni wanaamini kwamba viongozi wa kwanza (makhalifa) walichaguliwa kwa njia halali.
Mashia, hasa Twelver Shia, wanaamini kuwa Ali ibn Abi Talib aliteuliwa na Mungu kupitia Mtume kuwa kiongozi wa kwanza (Imamu), na kwamba uongozi huo uliendelea kupitia Maimamu kutoka katika kizazi chake.

Baadhi ya Mashia huongeza maneno kuhusu Ali ibn Abi Talib baada ya shahada (kama tamko la imani kuhusu uimamu), lakini hilo halimaanishi wanamkataa Muhammad kama Mtume.

Ni kweli kwamba kuna baadhi ya makundi madogo sana yenye imani zinazotofautiana sana na Uislamu wa kawaida, lakini si sahihi kusema Mashia wote hawamuamini Muhammad kuwa Mtume.

Kwa hiyo, dai kwamba "Mashia si Waislamu kwa sababu hawamuamini Muhammad kuwa Mtume" halina ukweli kuhusu Uislamu wa Kishia wa kawaida. Wao wanamkubali Muhammad kuwa Mtume; tofauti zao na Wasunni zinahusu masuala ya uongozi, uimamu, na baadhi ya mafundisho mengine ya kidini.

(Kwa hisani ya AI)..
 
Mashia wanaamini kwamba Muhammad ni Mtume wa mwisho wa Mungu, kama wanavyoamini Waislamu wa Kisunni. Shahada ya msingi ya Kishia ni

"Hakuna mungu apasaye kuabudiwa isipokuwa Allah, na Muhammad ni Mtume wa Allah."

Makundi mengi ya Mashia huikubali shahada hiyo. Tofauti kubwa kati ya Mashia na Wasunni haiko katika kukataa utume wa Muhammad, bali katika suala la nani alipaswa kuongoza umma baada ya kifo chake.

Kwa mfano:
Wasunni wanaamini kwamba viongozi wa kwanza (makhalifa) walichaguliwa kwa njia halali.
Mashia, hasa Twelver Shia, wanaamini kuwa Ali
(Kwa hisani ya AI)..
Ndo nikakwambia kua hujui kitu ety mpaka umuulize Ai Uislamu hausomwi kwenye Ai narudia tena hujui kitu kuhusu mashia kakae chini usome ndo utawajua elimu ipo kwenye vitabu
 
Jibu swali acha kulia lia, unapost uzushi ukiulizwa chanzo unaanza kulalamika.

Mimi sijui lolote ndio maana nimekuuliza hao million 2 waliuwawa wapi na lini?
Huyo Sheikh aliyesema hivyo sio mjinga. Huo untawala wa akina Ayatollah upo madarakani tangu miaka ya mwishoni ya sabini. Inapopigwa hesabu ya waliouawa ni idadi ya tangu miaka hiyo. Wa_Sunni na hao Mashia hawajawahi kuivaza chungu kimoja.

Usjie kusahau Saddam wa Iraq alivyowakandamiza Wa_Shia wa IraQ, je, unaweza kadieia ni kiasi gani waliuawa na serikali yake!?
 
Hapana sio kweli, in fact yeye ndii amewasaidia wasunni wa Lebanon, Syria, Iraq, Yemen na Palestina dhidi ya kupotezwa na US/Israel.

Na mifano hai ipo aliwapa silaha makundi ya Iraq yakiwemo ya kisuni kupambana dhidi ya ISIS ambayo ilikua supported na US/Israel.

Aliwasaidia wakurdi wa Syria ambao wengi ni wasunni waliokuwa wanamalizwa na mashambulizi ya ISIS. In fact bila hezbollah na IRGC kule Syria wakurdi wangechinjwa wote na Islamic state.

Pia amewasaidia palestine ambao ni sunni muslims na hili liko wazi. Kama sio Iran niambie hao wapalestina wangekua wapi leo? Si wangeshapotezwa tokea 1980s

Hata sasa anasaidia wasunni na wakristo wa Lebanon ambao wanauliwa kila siku na wazayuni.

Sasa na nyie leteni ushahidi ni wapi na lini Khamenei ameuwa wasunni million 2. Au mniambie nani mwingine kawatetea wasunni au wakristo na minorities wengine hapo mashariki ya kati zaidi ya iran?

Kupambana na ISIS haikuwa bahati mbaya kwa sababu ISIS ni watu wanaopigania utawala wa Ki_sunii dhidi ya utawala wa Kishia. Huko iraq baada ya M_sunii Saddam kuondoshwa Ma_shia walio wengi walichukua uongozi wa nchi yao.

Ina maana ISIS wangeweza kuichukua Iraq, Iran angekuwa amepoteza ushawishi wake, na hao ISIS wangeweza kujitanua kutaka kuichukua Iran pia. Kwa hiyo Ayatolla alikuwa anajipigania yeye na Ushia wake kimtindo. Na wala sio huruma.
 
Huyo Sheikh aliyesema hivyo sio mjinga. Huo untawala wa akina Ayatollah upo madarakani tangu miaka ya mwishoni ya sabini. Inapopigwa hesabu ya waliouawa ni idadi ya tangu miaka hiyo. Wa_Sunni na hao Mashia hawajawahi kuivaza chungu kimoja.

Usjie kusahau Saddam wa Iraq alivyowakandamiza Wa_Shia wa IraQ, je, unaweza kadieia ni kiasi gani waliuawa na serikali yake!?
Sawa hao million 2 wameuwawa nchi gani? Maana nachojua kwenye maandamano ya January ndio mara ya kwanza Ayatollah analaumiwa kuua watu wengi na wamarekani wamedai ni watu elfu 10 mpaka 50 wameuwawa na hao ni washia wote sio wasunni.

Iran imesaidia sana wasunni mfano Lebanon wanaouwawa zaidi ni wakristo na wasunni ila mbona Iran ndio inawapogania? Wapalestina wengi ni sunni ila Iran ndio mtetezi wao mkubwa. Huko Iraq sadam aliua sana wakurdi ila ni Iran ndio iliowatetea wakurdi ambao wengi ni wasunni. Hizi ni Propaganda tu za US kuwagawa mashariki ya kati ila Iran haijawahi kuwa na chuki za kidini otherwise wasingeitetea Lebanon yenye Rais mkristo.
 
Mkuu hivi unajua kwa nini Lebanon ina Raia Mkristo wakati Wakristo ndio Raia wachache zaidi nchini mwao!? Kama hii ndiyo hoja yako, naona niishie hapa kusema "wewe ni mweupe sana kuhusu siasa za Lebanon". Naona Niishie hapa.
 
Huko iraq baada ya M_sunii Saddam kuondoshwa Ma_shia walio wengi walichukua uongozi wa nchi yao.
Sio kweli, mpaka leo hii Rais lazima awe Mkurdi hao washia wamezuiwa kikatiba wanaweza kuwa waziri mkuu pekee.
Kupambana na ISIS haikuwa bahati mbaya kwa sababu ISIS ni watu wanaopigania utawala wa Ki_sunii dhidi ya utawala wa Kishia
Lakini ISIS ilikua inaua hata wasunni mfano wakurdi ni wasunni ila ISIS iliwauwa sana kurds wa Iraq na Syria. Mfano YPG, YPJ na SDF ni makundi ya kikurdi na dini ni sunni ila yalishambuliwa moja kwa moja bila kujali yalikua yakipigana na Shia yaani Al Assad, hezbollah na IRGC huko Syria.
 
Mkuu hivi unajua kwa nini Lebanon ina Raia Mkristo wakati Wakristo ndio Raia wachache zaidi nchini mwao!? Kama hii ndiyo hoja yako, naona niishie hapa kusema "wewe ni mweupe sana kuhusu siasa za Lebanon". Naona Niishie hapa.
Wala sio mweupe najua sana ni makubaliano ya kugawana madaraka kuwa rais lazima awe mkristo, then waziri mkuu Sunni na Spika wa bunge ndio shia na mtindo huu nimekueleza mwanzoni kuwa hata Iraq hupo.

Kingine Wakristo ni minority lakini sio shia au sunni wana majority. Kumbuka washia ni 32%, wasunni ni 31%, na wakristo ni 30% na hizi ni takwimu rasmi za 2023.

Hivyo unaona hakuna absolute majority au kwamba chiristians ni minority kiasi hiko? Sasa kwanini Iran isiache wakristo wa South Lebanon wamalizwe ili washia wachukue nchi kirahisi? Au kwanini wasishabikie Lebanon kupigwa ichakae ili nchi isitawalike na Hezbollah wachukue madaraka kirahisi? Kwahiyo hoja ya udini imefia hapo.
 
Back
Top Bottom