Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Kwahiyo Khamenei si muislamu?Hii ni ukweli kabisaaaa
I am Muslim
Ukipiga hesabu za waislamu walouliwa na uongozi wa khamenei ni kubwa kuliko walouliwa na Israel ila masufi na mashia hawatokuelewa ata kidogo
Approximately khamenei ameuwa waislamu 2M
Israel na marekani watu wazuri sana, inatosha ukiamini hivyoMm ni msema ukweli popote pale
Mashia si watu wazuri ata kidogo
Alichoongea huyo sheikh ni kweli au uongo?Israel na marekani watu wazuri sana, inatosha ukiamini hivyo
Jibu swali acha kulia lia, unapost uzushi ukiulizwa chanzo unaanza kulalamika.Huna ulijualo bcz hufuatilii mambo ata kama mtoto lkn hunilishi wala hunivishi
Kwahiyo tukirudi kwenye msingi wa mada ni kweli huyo kiongozi aliua sunni?Jibu swali acha kulia lia, unapost uzushi ukiulizwa chanzo unaanza kulalamika.
Mimi sijui lolote ndio maana nimekuuliza hao million 2 waliuwawa wapi na lini?
Uongo maana hajaweka kidhibiti chochote. Ni sawa na sheikh mwaipopo tu au nabii tito.Alichoongea huyo sheikh ni kweli au uongo?
Kwanini Mashia na masuni hawaelewani?U
Uongo maana hajaweka kidhibiti chochote. Ni sawa na sheikh mwaipopo tu au nabii tito.
Hapana sio kweli, in fact yeye ndii amewasaidia wasunni wa Lebanon, Syria, Iraq, Yemen na Palestina dhidi ya kupotezwa na US/Israel.Kwahiyo tukirudi kwenye msingi wa mada ni kweli huyo kiongozi aliua sunni?
Sheikh maana yake ni kiongozi na wapo viongozi wa ngazi tofauti tofati hadi wale wabobevu (Maulama nk)
View: https://www.instagram.com/reel/DaQPcQeCSvz/?igsh=d3JwdzR3bXY4dzcx
Halafu kuna kilaza mmoja anaendeshwa na mihemko hata hajielewi kavaa kobaz zimeisha mpaka zimetoboka anatembea na ndizi kusubiria kwenye ubwabwa, hitma au arobaini.
Ameshalishwa matango pori na Sheikh Matopetope ambaye anasubiria msaada wa tende toka .... Na nyama za waturuki zilizooza.
Sasa wewe umeleta ushahidi au umesimulia?Hapana sio kweli, in fact yeye ndii amewasaidia wasunni wa Lebanon, Syria, Iraq, Yemen na Palestina dhidi ya kupotezwa na US/Israel.
Na mifano hai ipo aliwapa silaha makundi ya Iraq yakiwemo ya kisuni kupambana dhidi ya ISIS ambayo ilikua supported na US/Israel.
Aliwasaidia wakurdi wa Syria ambao wengi ni wasunni waliokuwa wanamalizwa na mashambulizi ya ISIS. In fact bila hezbollah na IRGC kule Syria wakurdi wangechinjwa wote na Islamic state.
Pia amewasaidia palestine ambao ni sunni muslims na hili liko wazi. Kama sio Iran niambie hao wapalestina wangekua wapi leo? Si wangeshapotezwa tokea 1980s
Hata sasa anasaidia wasunni na wakristo wa Lebanon ambao wanauliwa kila siku na wazayuni.
Sasa na nyie leteni ushahidi ni wapi na lini Khamenei ameuwa wasunni million 2. Au mniambie nani mwingine kawatetea wasunni au wakristo na minorities wengine hapo mashariki ya kati zaidi ya iran?
Sasa nyie si mmedai ameua zaidi ya million 2, burden of proof ipo kweny kuthibitisha.Sasa wewe umeleta ushahidi au umesimulia?
Tunabisha ndio, maana ni uongo aeleze aliua wapi hao wasunni?Ila Kuna mtu atabisga na atataka ushaidi.
Sawa mkuuTunabisha ndio, maana ni uongo aeleze aliua wapi hao wasunni?
Palestine, Syria, Lebanon huko wamejaa wasunni na kote Iran aliwapambania kama angekua hawapendi si anger has gaza na Lebanon zichakazwe?
Mnaongeaga ujinga bila kutumia akili
Wewe unaongozwa na mihemuko mno ona neno ""sasa nyie si mmedai""" wapi ulipoona nimesema hivyo ?punguza ujuaji wewe....yaani unaniletea uthibitisho wa Google??? Humu ndani wote vyanzo vyetu ni aljazeera na BBC sijui CNN hakuna zaidi ya hapoSasa nyie si mmedai ameua zaidi ya million 2, burden of proof ipo kweny kuthibitisha.
Mimi nimeeleza mchango wa Iran kulinda sunni na hizo taarifa zipo public hata Google tu utapata.
Sasa wewe tusaidie ni katika
Vita gani au nchi gani ambapo Khamenei ameua wasunni?
Ubaya wao ni upi?..Mm ni msema ukweli popote pale
Mashia si watu wazuri ata kidogo
Mashia itikadi yao ni tofauti kabisaaa na SunniUbaya wao ni upi?..