Sheikh amshukia aliyewaombea kiharusi wanaomsema vibaya Rais Samia, asema Masheikh wengi wanasumbuliwa na njaa

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
"Pana sheikh nimesoma kwenye mitandao anasema wote wanaomsema mama wapate ugonjwa wa kiharusi, huyo ni hseikh huyo. Sasa nikiangalia huyo ni sheikh au shehena? basi hilo shehena hamna sheikh hapo. Tabia ya mtume Mohamed S.A alikuwa anampenda kila mtu"
Your browser is not able to display this video.
 
Aisee! Kumbe kuna Masheikh, na Mashehena!! Bila shaka hata wale viongozi wa Bakwata watakuwa kwenye hilo kundi la pili.
 
Mtumishi wa Mwenyezi Mungu apate ulinzi wa Kimungu ampayie Mlaika walinzi wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…