MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.
Tiririka nayo.
Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe
Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo.
Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya baada ya kumuona nguruwe huyo maeneo ya msikitini katika wilaya ya kayonza mashariki ya Rwanda.
Wakili amedai mteja wake alimuua nguruwe huyo bila kukusudia baada ya watoto kupiga kelele na yeye kutoka na fimbo.