Sheikh apigwa miaka 5 baada ya kuua nguruwe

Sheikh apigwa miaka 5 baada ya kuua nguruwe

Je angemua mbuzi kwa bahati mbaya angefungwa miaka mitano yote au angelipishwa fidia tu, kuna jambo jingine nyuma yake.
Angenyongwa kwa kufanya dhulma kwa mnyama.Msiongozwe na hisia zenu.Kila mmoja aishi maisha yake.
 
Vipi tutangaze maandamano ya kupinga hukumu?
 
Kenge kweli wewe sasa kwanini uwahusishe wenzio na dhambi zako? Tafuta mgalatia mwenzio mpe tenda ya kuleta hizo materials zako
Kwenye dini yenu mnafundishwa kuwaita binadamu kenge ?dini hizi kuzishika changamoto sana
 
heko kwa ufafanuzi kuna wapuuzi wengi wenye udini ulio kithiri Rwanda ni sheria marufuku mikengele makanisani wala adhana safi kabisa nina ishi jirani na msikiti ni kero kubwa mno mikelele ya adhana sa 11 alfajiri kuna wakati muadhini anaadhini huku anakohoa ni kelele hasa
 
Back
Top Bottom