Sheikh apigwa miaka 5 baada ya kuua nguruwe

Huo ni ujinga, kwani wanaokula Nguruwe Rwanda huwa wanamla akiwa hai? Sasa shida nini? Hii habari itakuwa uzushi mtupu!
 
Hekima na busara ndivyo vilivyotuwezesha sisi tusome kwenye shule za Ruthelan na hali ya kuwa ni waislamu na tukafika hapa leo...waislamu wengi wanaohisi kuwa wao wana imani kali wengi wao hukosa hekima na busara mwisho wao huishia shimo la tewa
 
Hizi dini sijui Kwanini wabongo tunachanganyikiwa nao kiasi hiki. Ngoja nisimulie kidogo hali niliyokutana nayo wakati nataka kuanzia ufugaji wa huyu mnyama. Wakati naanza ujenzi niliagiza mchanga na mawe kwa kutumia mshikaji mmoja muislamu ambaye kadri alivyokuwa anaendelea kuleta material aligundua nataka kujenga Banda la kufuga nguruwe, ghafla akaanza kuzingua kuleta kwa wakati, sikuona sababu ya kubadilisha gari nyingine ila nikawa namuuliza vipi mbona unazingua kutekeleza makubaliano yetu? Jamaa akasema ndugu yangu lumber unataka kufuga nguruwe tena kwenye Kijiji ambacho wengi wetu ni waislamu Hilo Jambo haliwezekani. Mm nikamuuliza hivi kumbe hii nchi kuna vijiji vya wakristo na waislamu? Nikaenda mbele zaidi nikamuuliza hivi Mimi nikifuga nguruwe itakuzuia wewe kuiona Pepo? Nikamwambia lamda majirani zangu ndio watakaoweze kulaumu kutoka na kelele na harufu ya huyo mnyama lakini sio wewe unayekaa kilomita tano kutoka ninapofugia na nikamwambia ili kuepusha majirani kubughudhiwa na project yangu ndio maana nkanunua ardhi kubwa (20hct) ili kama nikele na harufu isiwabughuzi. Lakini nikasema nitadeal na yeyote atakayenizingua kwenye mradi wangu effectively. Imani yako hainihusu Mimi na Wala zambi zangu hazikuhusu wewe. Kila mtu adili na mishe zake sio kuleteana mizenguo na dini za kuletewa.
Ikawaje mkuu huyo dereva alikuelewa baada ya hapo?
 
Coz pesa alikuwa anazitamani alileta material lakini Kila alipopima maneno yangu na the way nilikua serious mpk leo anaishia kunipa salamu za aibu tu na project yangu inaendelea vizuri tu. Kunawatu washenzi sana yaan wanafikiri wanachikiamini wao watu wote waamini hivyo. Kama unaamini ukristo amini ila usilazimishe waislamu waamini mkristo anavyoamini na vice versa is true.
 
Mungu yupi?
Bongo ingekuwa hivi wajinga wangeongezeka maradufu kuliko wajinga waliotapakaa hivi sasa. hizi dini zimefanya binadamu wamekuwa wajinga sana hawataki kabisa kutumia akili zao alizowapa Mungu.

Religion is Mankind op
 
Hizi dini sijui Kwanini wabongo tunachanganyikiwa nao kiasi hiki. Ngoja nisimulie kidogo hali niliyokutana nayo wakati nataka kuanzia ufugaji wa huyu mnyama. Wakati naanza ujenzi niliagiza mchanga na mawe kwa kutumia mshikaji mmoja muislamu ambaye kadri alivyokuwa anaendelea kuleta material aligundua nataka kujenga Banda la kufuga nguruwe, ghafla akaanza kuzingua kuleta kwa wakati, sikuona sababu ya kubadilisha gari nyingine ila nikawa namuuliza vipi mbona unazingua kutekeleza makubaliano yetu? Jamaa akasema ndugu yangu lumber unataka kufuga nguruwe tena kwenye Kijiji ambacho wengi wetu ni waislamu Hilo Jambo haliwezekani. Mm nikamuuliza hivi kumbe hii nchi kuna vijiji vya wakristo na waislamu? Nikaenda mbele zaidi nikamuuliza hivi Mimi nikifuga nguruwe itakuzuia wewe kuiona Pepo? Nikamwambia lamda majirani zangu ndio watakaoweze kulaumu kutoka na kelele na harufu ya huyo mnyama lakini sio wewe unayekaa kilomita tano kutoka ninapofugia na nikamwambia ili kuepusha majirani kubughudhiwa na project yangu ndio maana nkanunua ardhi kubwa (20hct) ili kama nikele na harufu isiwabughuzi. Lakini nikasema nitadeal na yeyote atakayenizingua kwenye mradi wangu effectively. Imani yako hainihusu Mimi na Wala zambi zangu hazikuhusu wewe. Kila mtu adili na mishe zake sio kuleteana mizenguo na dini za kuletewa.
Kenge kweli wewe sasa kwanini uwahusishe wenzio na dhambi zako? Tafuta mgalatia mwenzio mpe tenda ya kuleta hizo materials zako
 
Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.
Tiririka nayo.
Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe

Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo.
Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya baada ya kumuona nguruwe huyo maeneo ya msikitini katika wilaya ya kayonza mashariki ya Rwanda.
Wakili amedai mteja wake alimuua nguruwe huyo bila kukusudia baada ya watoto kupiga kelele na yeye kutoka na fimbo.
Lengo lake lilikuwa kutaka kuleta vurugu baina ya waisilamu na wakiristu akashitukiwa.
 
Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.
Tiririka nayo.
Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe

Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo.
Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya baada ya kumuona nguruwe huyo maeneo ya msikitini katika wilaya ya kayonza mashariki ya Rwanda.
Wakili amedai mteja wake alimuua nguruwe huyo bila kukusudia baada ya watoto kupiga kelele na yeye kutoka na fimbo.
Safi sana Mahakama ya Rwanda.
 
Back
Top Bottom