Sheikh apigwa miaka 5 baada ya kuua nguruwe

Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.
Tiririka nayo.
Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe

Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo.
Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya baada ya kumuona nguruwe huyo maeneo ya msikitini katika wilaya ya kayonza mashariki ya Rwanda.
Wakili amedai mteja wake alimuua nguruwe huyo bila kukusudia baada ya watoto kupiga kelele na yeye kutoka na fimbo.
Jinga kabisa ilooo tena nchinyenyewe ninRwanda ..ambapo wamepiga marufuku mpaka zile azana ..imagine
 
Si jambo la busara kumswsgia nguruwe msikitini. Apo kuna watu walikuwa wanamtega shehe tuu
 
Safi sana Mahakama ya Rwanda.
Pole sana ndg kitimoto kwa kudhulumiwa haki ya kuishi huko Rwanda. Bila shaka wadau walikosa fursa ya ku-enjoy ile minofu yako maridhawa.
 
Huo ni ujinga, kwani wanaokula Nguruwe Rwanda huwa wanamla akiwa hai? Sasa shida nini? Hii habari itakuwa uzushi mtupu!
Nguruwe hauliwi bali anachinjwa tena sio kwa kupigwa mitama kama machinjioni huko wanavyofanyiwa Ng'ombe
 
Huyo Ustaadh utakuta angekuwa ni mbuzi au kondoo wala asingempiga kihivyo. Amestahili adhabu.
 
Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.
Tiririka nayo.
Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe

Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo.
Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya baada ya kumuona nguruwe huyo maeneo ya msikitini katika wilaya ya kayonza mashariki ya Rwanda.
Wakili amedai mteja wake alimuua nguruwe huyo bila kukusudia baada ya watoto kupiga kelele na yeye kutoka na fimbo.

Huyu wakili nae akili zake hazikuchemka angemshawishi to sheikh kuvumilia yeye aseme tu alimua nguruwe wake ili ale pangekua hamna kesi hapo manake kaua kitoweo chake
 
Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.
Tiririka nayo.
Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe

Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo.
Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya baada ya kumuona nguruwe huyo maeneo ya msikitini katika wilaya ya kayonza mashariki ya Rwanda.
Wakili amedai mteja wake alimuua nguruwe huyo bila kukusudia baada ya watoto kupiga kelele na yeye kutoka na fimbo.
M!hakama ilitoa hukumu Sijajua ground ni kuwa amefanya ukatili wa mnyama au amefanya hujuma kwenye mali ya mtu.kwa sababu hapo mwenye nguruwe amepata hasara.kwa nini hakufidiwa mwenye nguruwe wake
 
Je angemua mbuzi kwa bahati mbaya angefungwa miaka mitano yote au angelipishwa fidia tu, kuna jambo jingine nyuma yake.
kUJIBU SWALI AU HOJA YAKO, labda tuulizane, KITU GANI KIMESABABISHA YEYE KUMUUWA HUYO MNYAMA?
 
Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.
Tiririka nayo.
Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe

Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo.
Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya baada ya kumuona nguruwe huyo maeneo ya msikitini katika wilaya ya kayonza mashariki ya Rwanda.
Wakili amedai mteja wake alimuua nguruwe huyo bila kukusudia baada ya watoto kupiga kelele na yeye kutoka na fimbo.
Huku Tz ni tofauti
Screenshot_20220503-083629_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom