MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Je angemua mbuzi kwa bahati mbaya angefungwa miaka mitano yote au angelipishwa fidia tu, kuna jambo jingine nyuma yake.Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.
Tiririka nayo.
Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe
Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo.
Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya baada ya kumuona nguruwe huyo maeneo ya msikitini katika wilaya ya kayonza mashariki ya Rwanda.
Wakili amedai mteja wake alimuua nguruwe huyo bila kukusudia baada ya watoto kupiga kelele na yeye kutoka na fimbo.
Natamani na bongo ingekua hivi.Rwanda ni >90% Christian country. Usitegemee hukumu tofauti na hiyo
Mchungaji kama huna degree Rwanda ni marufuku, na kengele za kanisani ni marukufu pamoja na adhana kwenye maspika kupigia watu kelele ni marufuku pia.Rwanda ni >90% Christian country. Usitegemee hukumu tofauti na hiyo
Bongo ingekuwa hivi wajinga wangeongezeka maradufu kuliko wajinga waliotapakaa hivi sasa. hizi dini zimefanya binadamu wamekuwa wajinga sana hawataki kabisa kutumia akili zao alizowapa Mungu.Natamani na bongo ingekua hivi.
Christian wanahusiana vipi na nguruwe?Rwanda ni >90% Christian country. Usitegemee hukumu tofauti na hiyo
Watu wakutoka mikoani mna shida kubwaNatamani na bongo ingekua hivi.
Angekuwa mbuzi asingemuuwa wala kumfanya chochote!Je angemua mbuzi kwa bahati mbaya angefungwa miaka mitano yote au angelipishwa fidia tu, kuna jambo jingine nyuma yake.
Wasiwasi wako tu,as long as huyo mbuzi nae angekuwa mali ya mtu bado angehukumiwa kwa kadiri sheria inavyosema.Je angemua mbuzi kwa bahati mbaya angefungwa miaka mitano yote au angelipishwa fidia tu, kuna jambo jingine nyuma yake.
Kwani tanzania kuna sehemu ambayo sio mkoani?Watu wakutoka mikoani mna shida kubwa
Nenda kwenye tovuti ya Bbc swahili hii habari imewekwa tangu juzi.Chanzo cha habari hii ni nini? Au unatunga uwongo kumchonganisha watu ili ufurahi?
Hata huko mikoani kuna mkoani na wilayani, unataka kupiga konzi mkuki.Kwani tanzania kuna sehemu ambayo sio mkoani?